Pengine kuna umuhimu wa kuweka mabango kwenye kila eneo ambalo wananchi wanajitoa ili taarifa hizo zikae kwa uwazi, na kuchochea uwajibikaji. https://t.co/HijwyoVPpp
"Uraghbishi unamwezesha mwananchi kuamini kwamba mawazo yake ni muhimu katika kuleta maendeleo na hivyo kumpa uwezo wa kuhoji na kutoa maoni yake wakati huohuo kuimarisha mahusiano kati ya serikali na wananchi". - @ricmapendo, Afisa Ushiriki, Twaweza.
#JamiiPamoja
Tanzania Standard Newspapers (TSN)'s Digital Media Journalist Sauli Giliard shares ideas on ethical responsibilities for online content creators to the second year students pursuing Bachelor Degree in Journalism and Mass Communication at the University of Dar es Salaam (UDSM) School of Journalism and Mass Communication (SJMC) in Dar es Salaam today, May 3, 2023.
@Mansauli@HabariLeo@dailynewstz #MediaFreedom
She rises before dawn, every day.
Heat from the charcoal stove engulfs her.
Smoke and sweat sting her eyes.
She sells roasted corn by roadside.
An umbrella offers some respite.
Her mobile phone, her only lifeline.
2023 Women’s Day theme: DigitALL, tech for gender.
Shirika la LANGO likifanya mafunzo kwa vitendo Kwa wanajamii wa kijiji cha Mchinga-1 kuhusu Uraghbishi hususani katika mbinu mbalimbali zinazomuwezesha mwanajamii kuibua changamoto zilizopo kwenye jamii yake na kuandaa mpango kazi wa kutatua changamoto hizo. @Twaweza_NiSisi
Ni uamuzi mzuri. Shule sasa zipambane kuongeza value kwa watoto. Mf. mtoto yupo KG2, unataka kumhamisha, inabidi afanyiwe interview afaulu ndio apokelewe. Sasa kazi ya hiyo shule ni nini? Kama Mtoto Mdogo inataka ajiunge na shule akiwa tayari anajua?!
SAVE the DATE; ALiVE report launch on 26th January 2023 in Dar es salaam by Milele Zanzibar Foundation and Uwezo Tanzania. Do Our Children have life skills and values? You can join the event through the zoom link available in this poster.
Join @policy_F@HakiElimu@Twaweza_NiSisi & @ShuleDirect on 26th October 2022 at AICC Arusha during CSOs week to discuss and learn about issues affecting learning outcomes in the education sector & what are the opportunities for the public to engage to influence systemic changes
Zaidi ya waraghibishi 170 kutoka Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Maswa, Mbogwe, Kigoma-Ujiji, Kishapu na Pangani wanakutana Dar es Salaam kufahamiana, kubadilishana mawazo na kujifunza kutokana na uzoefu wao katika kuchochea ushiriki wa wananchi kujiletea maendeleo.
#JamiiPamoja
✅Kuwachokoza wananchi kifikra ili wakumbuke kwamba wao ndio watendaji wakuu katika kujiletea maendeleo
✅Wananchi kuwa mstari wa mbele katika kuainisha vipaumbele vya maendeleo, kupanga na kushiriki katika utekelezaji wake.
✅Wananchi wasijione ni wanyonge, hawalazimiki kungoja msaada na kugundua kwamba mabadiliko ya hali zao yanaletwa na wao wenyewe
✅Kuwakumbusha wananchi kuwa wajasiri katika kutimiza wajibu wao, kuhoji viongozi wao na kutetea haki zao
✅Ni jitihada za kuimarisha ushirikiano kati ya serikali na wananchi.
✅Msingi wa uraghibishi ni kuwahimiza wananchi kuachana na utegemezi na kuchukua hatua katika kuboresha hali za jamii zao
Saa 11:30 jioni Kupitia Twitter Spaces @Twaweza_NiSisi wanakualika kwenye mjadala unaohusu #ElimuYetu , kumbuka leo ni siku ya Walimu duniani, usikose kushiriki hili, maoni yako ni muhimu sana juu ya mstakabali mzima wa elimu yetu nchini.