Taarifa kutoka kambi ya Stars zinasema Jonas Mkude amewekwa pembeni kuelekea mechi ya Benin ya kufuzu kwa Kombe la Dunia.
Taarifa inayoeleza ni matatizo ya kifamilia lakini zipo za ndani kabisa ni za utovu wa nidhamu.
Kulikoni Jonas Mkude?
#KitengeSports
@mkandamizaji Wasichague kazi, kwasababu kazi wanazozitamani kwa sasa hazipo..waanze na kazi yoyote baadae sana wataweza fanya kazi wanayoitaka...if and only if watakua na bidii...if not wataishia kufanya kazi hiyo yoyote maisha yao yoteee