AZY WEUSI
RIZIKI COSTA
@Arsenal & @SimbaSCtanzania
C. E. O Weusiutamu Sports Wear โฝ
Photography Sajda Luxury Bus ๐ ๐ธ๐ธ
๐น๐ฟ IG @Azy_Weusiutamu
Kuwa makini uki-drive
Kuwa makini ukipanda bajaj/boda
Kuwa makini ukivuka barabara
Kuwa makini na unachokula
Kuwa makini usigombane na mtu
Wanaokutegemea wana imani kubwa sn na wewe; wanakusubiri home urudi mzimaโ
EPUKA WATU WENYE TABIA HIZI NI SUMU KATIKA MAISHA YAKO
1. Epuka watu wanaokufanya ujieleze kila wakati ili uthibitishe kuwa unastahili kuheshimiwa
2. Epuka watu wanaokuomba ubadilike ili uwafurahishe wao, lakini wao hawako tayari kubadilika hata kidogo
3. Epuka watu wanaokukumbuka unapokuwa na kitu cha kuwapa, lakini unapopitia magumu wanakusahau
4. Epuka watu wanaokufanya ujisikie una hatia kila unapoweka mipaka yako
5. Epuka watu wanaokushindanisha na wengine kila wakati. Safari yako ni yako, na mafanikio yako hayahitaji kufanana na ya mtu mwingine.
BRO TO BRO
Mwanaume ambaye hajipi kipaumbele mwenyewe, mwisho wa siku ataishia kutumiwa na kila mtu.
Jichague, Jipende, weka mipaka na jifunze kusema HAPANA. Sio kila mtu anayekuhitaji anastahili nafasi kwenye maisha yako