Chairman for CCM Youth League Ruvuma Region. Founder of Ruvuma Music Festival.Founder of Ruvuma Vijana Cup.Political Strategiest,Marketing & Advertising Expert
Mh Rais @SuluhuSamia tunazidi kukuombea Mwenyezimungu akusimamie kwenye kila hatua, Chapa Kazi watanzania tunakuamini kwa kiasi kikubwa Sana.
#Kaziiendelee
“Mfumo unapokuwa na changamoto kodi inakuwa haiingii hivyo hata sisi pia TRA tulikuwa tunaumia na maumivu yetu yalikuwa kama ya Tafa chama cha mawakala wa forodha na tulipambana kuhakikisha mfumo unarudi kukaa sawa “ Ricard Kayombo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA
Kabisa baba askofu.Wangejua ni kiasi gani watu wa Songea na Mkoa wa Ruvuma tumenufaika na uwepo wa Ndege za ATCL na ukarabati mkubwa wa uwanja wa Ndege wasingeropoka.
Katika ripoti ya CAG upande wa ukaguzi wa miradi hakuna hati isiyoridhisha iliyotolewa kwa upande wa fedha, maana yake mapato yalikusanywa na kutumika ipasavyo. Kodi zetu zinatumika vyema tusikate tamaa #KaziIendelee
SERIKALI YAKAMILISHA MALIPO YA UNUNUZI WA NDEGE MPYA
"Sambamba na uimarishaji wa miundombinu ya usafiri wa anga Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu, ndege hizo zinatarajiwa kuwasili mwaka 2020/22 na hivyo kuwezesha Serikali kuwa na ndege zake 12" Majaliwa
@RevKishoka Kaka unafahamu Ujenzi wa Vihenge Vipya Kwenye mikoa Mitano Tanzania ulokamilika Mwaka jana ulifanywa na Kampuni ya Feerum S.A ya Poland na Civil Loth Entreprise LTD ya Tanzania?kwa hiyo Balozi kukutana na Kampuni hiyo haimaanishi Tanzania hakuna Kampuni zenye uwezo.
@MarekaMalili Na sio tu kuishi hata malezi, Asilimia kubwa ya kina baba wakifiwa na wake zao wanashindwa tunza watoto wao yaani watoto wanaharibikiwa na ni opposite kwa kina mama.
"Tutaendelea kushikamana na kuvipa nafasi vyombo vyetu vya habari kwani vimekuwa na mchango mkubwa katika kuhabarisha umma."
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa shukrani kwa vyombo vya habari kwa namna vilivyoshirki katika Siku 21 za Maombolezo ya kifo cha Rais Dkt. @MagufuliJP