To make a Good Business 3 things must come together
1. The right people
2. The right opportunity
3. Money
Very rarely to bring the 3 factors together at the same time, Sometime you find one of them and miss the others.
The job of an Entrepreneur is to bring the 3 pieces together
@Psiteshio1 Inategemeana na size na aina ya nyumba. 24m inaweza vizuri tu na hata kama itafeli basi itakuwa imesogeza vya kutosha unabaki kujazia magepu pole pole
@MarekaMalili@edwinbaraza5@MseccoJ Nimeingia mara kadhaa ndio sababu nimeona hela kama imezidi.. Sio kwa ubishi au kiburi ni kwa kutaka kujua tu zaidi 😂
@MarekaMalili@edwinbaraza5@MseccoJ Labda kwa nyakati hizi za mlipuko wa bei za materials zinazotokana na gharama za usafirishaji. Lakini kama kiwanja ni chako Aaaah!! fifty ni refu sana kaka.. AU LABDA kama imejenga SERIKALI
@MarekaMalili@edwinbaraza5@MseccoJ Shusha ufafanuzi kidogo kaka
1. Boma bei gani?
2. Kupaua bei gani?
3. Lipu, skimming na rangi?
4. Madirisha na milango?
5. Floor/tiles na gypsum board?
6. Miscellaneous?
Tuone kama 50+ itaisha
@PhentyKiria Chagua moja na usonge mbele. Kama ni ajira endelea ku-sharpen skills zako na kujenga uzoefu mkubwa kila unapopata nafasi ya kujufunza. Kama ni biashara endelea kuikuza na kuzidisha ubunifu kila wakati usifanye kwa mazoea kuwa mwanafunzi wa kudumu main goal ni sustainable growth
@MarekaMalili@mkamaluhega Ukipanga nyumba ya kuishi, watoto wenye kwao wanapocheza na watoto wako wanaambia watoto wako "hapo sio kwenu, mmepanga tu.." kwa kweli nyumbani kwa watoto wako ni muhimu kwa afya ya makuzi yao
@BiteBlackPepper@EdwinMjeru Labda ni sahihi.. lakini je, hiyo inamsaada gani in reality? Badala yake ninadhani inalemaza subconscious mind maana yenyewe haijui ukweli na uongo
@iamNehemia@MrSule28 Kijana, maana yake ni mdogo ana muda wa kujifunza mambo mengi
Tuseme kweli hana kipato ila anao muda wa kukiongeza. Akijifunza mambo mbali mbali ikiwemo hilo la hisa atapungukiwa na nini?
Je, unakubali kuwa kuwekeza ni TABIA? Je, akianza hiyo tabia pole pole kunatatizo gani?
@BiteBlackPepper@EdwinMjeru Mfano;- Nimetembelea mtaa wanye nyumba za kifahari. Niko na simu yenye kamera safi(of which nowadays kila mtu yuko na hiyo simu). Nikajipiga picha kisha nikandika post "Ndo natoka HOME muda huu.. marafiki kiwanja chenye vibe leo weekend, tukutane wapi?"
Hapo nimefika standard?
@awarenesskills Russia kwao vikwazo sio issue, wanajimudu na hawajali. Huoni kuwa walitaka kujua kama nasi je, vikwazo kwetu vipi? Tuko na mlengo kama wao? Ikizingatia yaliyotokea Oct 29th
Mnakuwa marafiki wa kushibana ikiwa mnafanana tabia
@Maestrowafact Umejitahidi kueleza. LAKINI ili uache alama ni LAZIMA UCHAGUE. Ukishindwa kuchagua, umeshindwa KUPIGA HATUA
Hii ya HATUFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE ime-prove failure,, ni miaka 60+ ya uhuru HAIJALIPA. NI WAKATI WA KUCHAGUA MISIMAMO na RAFIKI WACHACHE wa kufanana nao na Ku-move