@HecheJohn one thing sijajua kuhusu siasa za tanzania ni kwamba when ukiwa opposition side hutakiwi kabisa kua positive kwa government, yaani chochote kinachohappeni focus yako iwe kutoa remark ya dosari
nah this ain't right,
pengine ajali ya leo haihusiani hata na miundombinu mibovu heche
@godbless_lema "jamani pelekeni pole zangu kwa wafiwa"
hii yoyote hata aliyeko tunduma akiiskia anakua rightfully kupelekea salamu za pole,
iko inclusive not subjective kwa heche tu, tufikirie na tuevaluate before attacking someone otherwise we just might end up looking fools
@senga60385@godbless_lema lissu alive man vipii,
ni quote ili ionekane kama ilikua specifically singular kwa makam mwenyekiti tu,
fikisha au fikisheni salamu,
mpe au wapeni pole zangu wafiwa,
@evancemacmillan@godbless_lema "wapeni pole wafiwa"
"fikisheni salamu zangu"
whoever heard that in quote alikua rightful ku publish hizo salamu,
let's not be judgemental guys,
@godbless_lema few will understand you.
kuna article moja roma kaandika on this issue,
mwenye kufikiri atakua kang'amua kitu,
not all problems got the same solution and I am talking about the chuki approach in this political fight, I disagree kwamba hate towards the rulers is the cure
@Sativa255 wewe ukiwa na taasisi zako 30 sehemu tofauti kuzifanyia ziara ni mpaka uombe permit,
Come on guys you being bums questioning things you not supposed to