Jana ilikuwa ni Arsenal dhidi ya dunia nzima. Lakini yote kwa yote huu ni msimu mzuri sana kwa Arsenal, ubingwa wa EPL na fainali ya UCL. Kitu ambacho wenye chuki hawatakiamini ni kwamba tutarudi tena fainali ya UCL very soon na kubeba kombe la Club bingwa Ulaya. Mark this Tweet.
Vodacom mnaniibia! Mara kadhaa nanunua airtime kipitia 149*01#, mnakiri mmepokea pesa, lakini nikitaka kupiga simu, mnasema nichukue mkopo sababu salio langu halitoshi kupiga simu! Huu ni wizi, Vodacom, huu ni wizi wa mchana! Si mara moja, si mara mbili. Mwisho, kwa haraka ya kupata mawasiliano nalazimika kuchukua mkopo wenu wa kitapeli. Komeni, Vodacom, komeni!
Ni miezi sita sasa imepita toka Padre Padri Peter Rwezahura, CMF, alipo potea na juhudi za kumtafuta zinaendelea.
Tusaidiane kusambaza taarifa hii na kusali ili mpendwa wetu Padre Peter Rwezahura, CMF, apatikane kwa haraka.
Bikira Maria Mfariji wa wenye uchungu; Utuombee ๐๐๐
BREAKING NEWS: The government's #Rwanda policy is UNLAWFUL says @UKSupremeCourt because Rwanda is NOT a safe third country and refugees face risk of being returned to the country from which they fled.
TAARIFA;
Kuanzia Ijumaa ya kesho, 13.10.2023 tutakuwa na โspaceโ hapa Twitter (X) na kwa kuanzia tutakuwa tunafanya mara moja kwa wiki (Ijumaa).
Katika space hiyo tutajadili masuala yote yaliyotokea juma zima. Tutajadili masuala ya kisiasa na kijamii. Wazungumzaji ni wananchi.
Tukutane space, kuanzia saa mbili usiku hadi saa nne usiku, tutajadili na kupiga soga pamoja. Tukutane watu wote hata wasiopenda siasa.
Mijadala ni sehemu sahihi ya kupata taarifa na maarifa na kuongeza ufahamu. Twitter (X) ni jukwaa sahihi kufanya mijadala kwa sasa na lazima tuitumie.
Waongozaji kwa sasa watakuwa ni Boniface Jacob na Martin Maranja Masese. Tunataka kupata majukwaa mengi ya kuendesha mijadala ya umma.
Ahsante. โ๐พ
Husda ni jambo baya sana - ni mbaya kuliko wivu
Watu wenye husda huficha hii roho yao mbaya ila siku ukishajua mtu ana roho ya namna hii - kaa naye mbali na usitake ajue kitu chako kabisa
Utaona unaanza kufanikiwa maishani
#TembeaNjiaYako