Practical Structure:
Church begins with two or three believers under well-defined leadership, focused on the Word of God. It's not about buildings or fancy equipment, but spiritual functionality.
@gabyconscious@KenTheRemedy We mnyakyusa @gabyconscious Kwa mara ya kwanza nasoma post yako na kuifuatilia 🙌 shukran sana, na sijui kwann hizo nyingne napotezeaga na mara zote nawapa watu madini yako ila mm hili kwel ndo nimefuatilia 🙌
Sasa chaguo ni lako
Kuwa Mwana (Mtakatifu) wa Mungu kwa kumwamini Kristo. Au kuwa mwana (Mdhambi) wa Ibilisi kwa kutomwani Kristo.
Katika Kristo unatolewa kabsa Dhambini na huwezi kuwa mdhambi tena kamwe. Yohana 10:28-30 na Kolosai 1:13-14.
Chaguo ni Lako.
Huwezi kuwa mwenye Dhambi ukawa ndani ya Kristo mda huo huo maana Ndani yake hamna Dhambi.
Huwezi kuwa Mwana wa Mungu ukawa mwenye Dhambi Yeye huzaa Wana wa kufanana Nae.
Yeye ni Mtakatifu mzazi wa Watakatifu.
@millardayo Hapa Songea mjini unauziwa sukari mwisho kilo 10 tu, anayo unaipata kwa 33,000/= sawa na 3,300/ kwa bei ya jumla je muuzaji wa chini atauza kwa Bei elekezi ya 3200? Kama Yeye kanunua kwa bei hiyo🤔.
Kwenye biashara nikawaida "the price increases with increase in demand."
@amprincess9 Maisha magum tu yaan kam engine ya gari ishapata moto ikizimwa tu kuwaka kazi ndo hivyo unkipata mda ukajiengesha tu umechoka sana lazma kulala🤣🤣life ngum ya January