|Director - Romki Company Limited| Technical Director - Majumba Construction Limited | Registered Building Surveyor (T) | Cert. BIC | BSc. Building Survey |
@CHILUMBA_96@YerickoNyerereT Kwa nini msipambane kwanza kujua 20 bilioni zimewekwa akaunti gani? Je, @moodewji amewekeza @SimbaSCTanzania kwa sheria ipi hali ya kuwa mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa timu haujakamilika? Ni lini ilitangazwa uuzaji wa hisa na klabu ili wawekezaji wajitokeze?
Je, @Tigo_TZZ nimekosea kujiunga na huduma yenu ya Post Paid siku ya leo ya kiasi cha Sh. 40,000? Nimefanya kila jitiada ili kuhakikisha narejesha mawasiliano ila imeshindikana. Nimerestart simu km mlivyonielekeza lkn wapi!!! @JerrySilaa @wizarahmth
@Tigo_TZZ mmenipotezea hela sana leo, cjui niwashtaki. Tangu saa 1620hrs mmekata mawaliano kwenye cmu yangu. Ni whatsapp tu inapatikana. Mmeleta usumbufu mkubwa sana kwa wateja wangu n wale waliokuwa na order zao wameshindwa kuzipata kutokana n changamoto za mawasiliano. Poor you