Polisi tuliwaambia, mtaangushiwa jumba bovu kesi ikianza kusikilizwa ICC, washaanza kuropoka mapema kuwa sio wao waliochukua ilaha na kuingia nazo mtaani kuua, ingawa wao ndio waliotoa amri
“Emancipate yourselves from mental slavery
None but ourselves can free our minds
Have no fear for atomic energy
‘Cause none of them can stop the time
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look?
Some say it’s just a part to fit
We’ve got to fulfill the book”
Bob Marley.
Mzee wa What a Pleya aliona mbali tangu siku 6 zilizopita akatoa ya moyoni baada ya msemaji wa Jangwani kusema kuna timu inafanya mazoezi na mchezaji wao.
‼️TUMENASA MPANGO WA ABDUL KUITISHA MAANDAMANO YA WANACHADEMA FEKI ILI KUMKATAA HECHE‼️
Huyu ambae anasikika kwenye hii voice ni Sumai Ramadhan kibaraka wa Nduli Idd Amin Mama pamoja na mwanae Abdul.
Sumai alikuwa mahali na wahuni wenzake, akawa anaongea na Kenan Kihongosi kwenye simu kuhusu mpango wao wa kuitisha Maandamano ya Wanachadema feki kwa ajili ya kumtoa na kumkataa Makam Mwenyekiti Mhe. Heche bahati nzuri kuna msamaria mwema alimrekodi japo sauti ya Khenan haisikiki kwasababu simu haikuwa loud.
Kwa mujibu wa Sumai ni kwamba tayari kuna Vijana ambao wanaendelea kuwatrain kuhusu mambo ya CHADEMA ili ikifika siku ya Maandamano angalau wawe na ABCD za kuhusu Chadema lakin anasisitiza kwamba lazima wapate Viongozi halisi wa CHADEMA kutoka kila Mkoa ambapo hao Viongozi watakao wapata watawapa pesa kuanzia laki tano hadi milioni moja ili washiriki Maandamano hayo ya kumkataa/kumtoa John Heche ili isionekane kwamba Waandamanaji ni Mamluki ndo maana anasema hataki wao wafanye mambo kama yale ya Wakatoliki feki ambao walifika Ubalozi wa Vatican Tanzania wakiwa wanaimba Mwamba Mwamba huku wakisema hawamtaki Father Kitima.
Ni wazi kwamba Waandishi wa hizi script wanajua kwamba Nduli Idd Amin Mama pamoja ka mwanae Abdul ni mazero brain ambao ukiwapelekea project yoyote ya kudeal na wakasoaji wao wanatoa pesa bila kujali matokeo ya project yatakuwa mazuri au mabaya ndo maana kwenye project ya kumshambulia na Father Kitima na Ruwa’ichi pamoja na issue ya Wakatoliki feki ambao waliandamana kwenye Ubalozi wa Vatican + wale waliowapandisha ndege hadi Rome- Italy ili wakamshitaki Father Kitima na Ruwa’ichi kwa Papa walitumia zaidi ya bilioni moja.
Swali la kujiuliza, ni Je baada ya kutumia bilioni moja kumshambulia Father Kitima na Ruwa’ichi walifukuzwa? Au hayo mashitaka yao feki dhidi ya Kitima na Ruwa’ichi yalibadilisha misimamo ya Baraza la Maaskofu wa Katoliki (TEC) juu ya matukio ya ukiukwaji wa Haki ambayo yanaendelea nchini?
Kwamba Wakiandamanisha Wanachadema feki kwa ajili ya kumkataa John Heche kutabadili ukweli wa kwamba Nduli Idd Amin Mama na vibaraka wake waliuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi kwenye Maandamano ya Oktoba 29, kisha wakaiba maelefu ya miili na kwenda kuizika kwenye makaburi ya Halaiki? au kutabadili ukweli kuhusu namna ambavyo Abdul na kampuni ya mafuta ya Vitol walivotuibia Watanganyika matrillion ya pesa ndani miezi mitatu iliyopita?
Au wanadhan kwamba wakiandamanisha wanachadema wa mchongo kumkataa Heche ndo Watanganyika watakubali kuingia kwenye MAVIZIANO na wauaji???
Jambo la mwisho kabisa kwa wale Wanachama wa CHADEMA wenye njaa kali kama mpo Haiti, huu ndo wakati wenu wa kuwanufaisha wenye project yao, wakienda kwa Abdul wanaomba mabilioni ya pesa ila nyie wanawapa elfu hamsini hamsini.
‼️HABARI MBAYA‼️
Huyu kwenye picha anaitwa Pendo Kileo ni Mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Chamazi.
Juzi alitoa taarifa Polisi kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba mahali ambapo anaishi kuna CCTV so Polisi wanaweza kuanzia Uchunguzi wao hapo.
Leo kapigiwa simu na Polisi wa Chang’ombe wakamwambia kwamba aende ili waweze kumpatia mtaalam ambae ataenda nae kuangalia na kuchukua hiyo CCTV footage.
Sasa badala ya kupewa msaada ambao ameitiwa, Polisi wamemkamata na kumuweka ndani, familia yake imeenda Changan’ombe Polisi kufuatilia wamefukuzwa.
#FreePendoKileo
Yani Barabara ya Kimara watu walivunjiwa nyumba zao bila fidia kwa ajili ya upanuzi wa barabara.
Lakini kwenye hizo nyumba zilizovunjwa kipindi hicho kwasasa wenye hela wanajenga sheli zao humo humo!!
Mnawaonaje watu?
Mazungumzo na Mama Anna Tibaijuka
Katika mazungumzo haya Mama Anna Tibaijuka amezungumzia masuala mbalimbali yanayoendelea katika jamii ikiwemo hali ya nchi baada ya Oktoba 29, mijadala juu ya muungano na mengineyo mengi.
Fuatilia zaidi hapa>>>https://t.co/fHM5ECT2J0