@Marco_Charles89@Eric__Bernard Sasa hapo mzee amesema uongo gani? Issue ni lugha aliyotumia, na kila mtu ana nature yake ya kuongea. Lakini 100% alichosema ni ukweli. Watu hawamzomei mtu kwa sababu ni mkweli; mara nyingi wanachoshwa na wale wenye ujanja ujanja wanaojifanya wema.
@Mussa_bilali99@Jongajnr@safarimlevi Hujui unachokiongea rio ni mwarufu kwa watu tunaofatilia ssoka ,hakua na jaja ya kuletwa labda angekuja kuanzia ha academy au muleta impact ya maana