Aluta version of what is happening betwewn Babu Owino and Sifuna now, Babu ananikumbusha wale mamorio huwa mnaenda Sherehe na wao, then mnaita babes , babes wakikam wanakam mababes few , unapata kuna mseeh mmoja hajapata dem, mkiwa hapo ju weww hauna dem, dem mmoja anasema wacha nikuitie beshteangu but sijui kama atakam, so anaenda anakuitia beshteyake , hiyo time mnachill song zote za kurombosewa zinachezwa watu wanakula tacore wewe ukiwa tu hapo umeng’ethya, then finally finally dem uliitiwa anafika club ma 3am, alaf unapata ni hawa Strath babes fine as hell , she is gorgeous she looks like she has never eaten Kamande her whole life then anafika time ya Amapiano, and she is vibes as hell, akifika she electrifies the place, ile vibe ilikua imeisha inarudi tena kwa mpigo, wewe sa pia unapata dem,
Sa msee alikua already na dem anaona vile huyo dem umepata ni vibes anaanza kujiforce kwake, now thats Babu Owino for you.
Sitachangia hii conversation because my research has very different findings😂😂 ni kama after exam ukiskia wanaargue kama answer ni 3 ama 4 na we uliandika Lorian swamp😂😂 infact the biggest I've seen ni ya kijana anaitwa Mungai kutoka Gilgil💀💀😂
Rigathi Gachagua: Katiba inasema that presidential results at the constituency level are final. Kwa hivyo, wewe Chairman wa IEBC, unataka tuende Bomas tukafanye nini? Wewe kaa kwa ofisi yako na calculator.
#K24Siasa
I think everyone is even sugar coating the reason they don't want children, I personally don't want children because I'm too selfish to permanently take care of another human being. I will use all the time I have in my life to experience life, I won't devote it to a child.
Nimefika ile point ya kuchoka kabisa.. like I'm just letting people have their way with everything. nashuka kwa gari na huyu mtu anachukua suitcase yangu ananipeleka kwa gari za Busia, namfuata tu aki Sina nguvu ya kubishana.Wacha tufike huko aniambie naenda Busia kufanya nini😂
Mkitaka kupeleka Ruto Home ⬇️⬇️
Printing an Omwami poster costs less than 50 bob. Everyone can print na we paint the country with Omwami. Hii campaign inaweza kua rahisi sana kuwin. As they take their campaigns to rallies and spend billions, we can do it ourselves. Chwani haiwezi kufanya usote; sio online tu, let's hit the ground. Picha ziwekwe kila mahali. Now this will be organic & a move that brings votes to the camp.
Sifuna has a rare chance to change Kenya’s political system. Thinking about it, he has solid following from a new tribe less constituency. He does not need to conform to the old tired politics that benefits from status quo.
The Mwananchi party are planning to attack me, as per their WhatsApp group. Wanadhani watanipata 😂🤣 it took Kasongo weeks. They had to take my brother Ndio wajue place Niko.
They came to place with my brother hawakunipata. No one even in my family knows where I stay 😂🤣🤣🤣
I think mzae knows am depressed or sth ,ananipigianga kila siku telling me it might usually take time but it will eventually work out, always giving me assurances