@MabalaMakengeza Kwa njia ya mtandao ni vizuri sana. Ila nina wasiwasi kwamba wanafunzi wengi, hasa wa shule za vijijini hawako vzr katika matumizi ya Digital hasa katika kujifunza.
Tukiwa katika Kikao cha vyama vya ushirika wa mazao ya Korosho Pamba na Tumbaku,
Tumejadiliana namna Gani tutajenga ushirika Imara ambao haumnyonyi mkulima kuanzia ngazi ya chini,
Mfumo utakaofanya ushirika urejeshe heshima ya mkulima.
#UpdatesKiyegeya
Waziri Mhandisi @IsackKamwelwe (aliyevaa kofia) na Katibu Mkuu wa Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo Elius Mwakalinga wakipitia mpango kazi wa ujenzi wa barabara ya Dodoma-Morogoro ambao mpaka sasa kazi za kurudisha mawasiliano zimekamilika kwa asilimia 97
Hawa ni Aki na mama wakifyatua Tofari kwa ajili ya ujenzi wa madarasa S/msingi kasandalala Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.Shule hii inawanafunzi wengi sana.Karibu tuungane kuijenga.@JoyceNdalichako @TAMISEMI2015 @TuliaAckson@Oxfam
Wananchi wa kijiji cha Shinyanga 'A'Wilayani Mbogwe wahamasika sana kujenga madarasa ya S/M.kasandalala baada ya serikali kutoa milioni sitini kwa ujenzi wa madarasa 3 na ofisi ambayo sasa yamekamilika.@ClubMagufuli @TAMISEMI2015 .Hongera sana.
Mtandao wa waraghbishi Wilaya ya Mbogwe -Geita.Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kujenga madarasa 3 na Ofisi ktk S/m.kasandalala kupitia mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)@ClubMagufuli@JoyceNdalichako@majaliwa_kassim @TAMISEMI2015 changamoto bado.Karibu
Katibu wa Mtandao wa waraghbishi Wilaya ya Mbogwe na Mjumbe wa kamati kuu ya Mtandao wakishiriki kazi za kijamii ujenzi wa S/M.Kasandalala (W)-Mbogwe @ClubMagufuli@JoyceNdalichako@OxfamTz@billmarwa kazi ni nzuri zinahitaji kushikwa mkono.
mitazamo finyu yaharibu mambo mengi. Hata kwa mujibu wa viongozi wa serikali kwenye jamii, waraghbishi hufanikiwa kuunganisha jamii katika kujiletea maendeleo hasa kwa sababu hawana uchama. Wanaaminika kwa sababu hawana uchama.
Mafunzo ya Haki za https://t.co/AUpkxqC1ks muhimu jamii kutambua Haki zao .Lakini pia kutambua Sheria,makosa na Adhabu zake.Changamoto ktk Sheria washirki wa mafunzo wabaini Sheria kuandikwa kwa Lugha ya kiingereza #ChukuaHatua Nini kifanyike @bunge_tz@TuliaAckson
Jengo la nyumba ya mwalim kijiji cha kanegere kata ya bukandwe Mbogwe GEITA ambalo limejengwa kwa nguvu za wamanchi zaidi kuanzia msingi had kupaua baada ya wamanchi kuona kua kunamiradi nyingi sana ambazohazijakamilika kuna majengo ya madarasa 10 na ofis 5 ambazo hazijapauliwa
@Lmbigule Hongera zake mh mbunge wa jimbo la Mbogwe GEITA kwakuonyesha ushirikiano mkubwa sana kwa waragbishi ili kuleta maendeleo katka jamii zetu kwani umoja ni nguvu
@Lmbigule Hongera zake mh mbunge wa jimbo la Mbogwe GEITA kwakuonyesha ushirikiano mkubwa sana kwa waragbishi ili kuleta maendeleo katka jamii zetu kwani umoja ni nguvu
...Hii itawezesha kuokoa fedha nyingi tunayotumia kununua dawa. Hivi sasa ktk kila shilingi 100 tunayotumia kununua dawa, shs 94 tunazitumia kununua dawa nje ya nchi. Ninawapongeza wawekezaji hawa, tutashirikiana nao kuhakikisha ujenzi unakamilika na uzalishaji unaanza mara moja