Mvua isikuzuie kusafiri kisa hujafanya booking, booking zako zote fanyia online kupitia tovuti yetu ya https://t.co/1mXxX5uqGv kwa safari zako za Dar Moshi Arusha kupitia Chalinze.
#behonoredlord
โ HUDUMA ZA NDANI YA BUS
1๏ธโฃ. Soft Drinks and Water โ๐ท
2๏ธโฃ. Bites & Sweet's ๐ฅ๐ง
3๏ธโฃ. Free Wifi ๐
4๏ธโฃ. Comfortable Seat ๐บ
5๏ธโฃ. Full Air Condition ๐ฅถ
๐บ Kata tiketi yako Usafiri nasi
๐Tembelea.https://t.co/6HisFPzjin
๐#ROYALEXPRESS
๐ง Katika kuelekea msimu huu wa sikukuu za Christmas na Mwaka mpya Safiri Kifalme na Royal Express.Tunahakikisha kupata Huduma Bora Salama kabisa unaposafiri pamoja nasi.
โป๏ธDAR ๐ ARUSHA ๐ DAR
โป๏ธARUSHA ๐ย DAR ๐ ARUSHA
@VodacomTanzania Mmeendelea kudhihirisha kuwa hamuaminiki 100% people have been trying to access your service centers with no response from you mean while mmekula pesa za watu ๐ฎ
"Be Honoured Lord..."
Tafsiri sahihi ya neno hili na yenye retweet nyingi itampatia mtu tiketi ya bure kwenda Arusha au kuja Dar.
#RoyalExpress@royalexpress22
Dar-es-Salaam || Arusha
Mali safi pekee njia ya Chalinze ๐ฅ
Uongozi na wadau wa TBB, kituo cha kulelea watoto yatima #MaungaOrphanCentre pamoja na jumuiya nzima ya wapenzi wa mabasi tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa #RoyalExpress kwa kuwa sehemu ya udhamini wa TBB Get Together and Charity 2025.