Mara nyingi tumeshuhudia ajali zinazosababishwa mitambo ya kilimo na ujenzi nyakati za usiku. Ni wakati muafaka sasa kwa @tanpol mkoani Iringa, Njombe na Mbeya kuhakikisha barabaea zetu zinakuwa salama hasa msimu wa kilimo.
@SuluhuSamia@azamtvtz@MwananchiNews@ujenzi_uchukuzi
MTANDAO WA BARABARA UMEONGEZWA
Serikali imeongeza mtandao wa barabara unaohudumiwa na TARURA kutoka kilometa 108,946 mwaka 2020 hadi kufikia kilometa 143,881 mwaka 2025 katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuwezesha maeneo mengi ya vijijini kufikika kwa urahisi.
Mtandao wa barabara umeongezeka kutoka kilomita 108,946.19 hadi kilomita 144,429.77, sawa na utekelezaji wa asilimia 100.38% wa utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi kuanzia Novemba, 2020 hadi Machi, 2025
Mvua kubwa inayonyesha nchini imesababisha kujatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya Mkoa wa Pwani na Lindi. Wasafiri wanalazimika kutumia njia ya Dar -Lindi wanalazimika kutumia njia ya Dar-Iringa-Makambako-Songea-Mnazi mmoja kufika mukoa ta kusini.
@TBoundBuses@TawlaTZ
Mabalozi wa Usalama Barabarani Mkoani Mara wakiambatana na Sgt Sosi wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, wakitoa Elimu ya Bima kwa madereva wa mabasi na Malori wanaosoma katika Chuo cha Ufundi Veta Musoma. Asasi ya mabalozi inashirikiana na taasisi mbalimbali.
CEO Fungo na Bi. Jette walikuwa na mazungumzo mazuri kuhusu RSA Tanzania na kazi inazozifanya kuimarisha usalama barabarani pamoja na kuangazia fursa mbalimbali zinazoweza kupatikana. @Ma3Route @azamtvtz@ChangeTanzania
Bi Jette Ravn ambapo kwa sasa yupo nchini Tanzania kutoa mafunzo katika Kituo cha Umahiri cha kikands (RCoERs) cha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji NIT. Pamoja na hayo alipenda kuijua zaidi RSA Tanzania na kazi inazofanya. @TanganyikaLaw@TBConlineTZ@MwananchiNews
Yes. It was an Honor to share my Road Safety Journey. The Advocacy continues but we need to do it together, and its starts with You. It's an Individual Call. Alluta continua.#roadsafety
Madereva hawa si wageni machoni petu. Tena amelipamba gari lake kwa maneno mazuri mno, "MWENYE HEKIMA HABISHANI" ila yeye amekosa kabisa hekima barabarani.
Nadhani sasa ni muda sahihi wa kuwa na sheria madhubuti za Barabara
@tanpol@Sheria_Katiba@wizara_afyatz@TanganyikaLaw
Katika harakati za kuimarisha mahusiano, Jan 30 2025 @rsatza Mkoa wa Mara, Tumetembelea @tanpol Kikosi Cha Usalama Barabarani Mkoa Wa Kipolisi Wa TARIME NA RORYA na kukutana na Mkuu Wa Kikosi Cha Usalama Barabarani Afande ASP. Hamis Wembo,