Moral Philosopher(I'm because We are), university of Dar es Salaam BAPE Graduate of 2021, with Honorary Award, Former Teacher of TWEYAMBE SS, MA EGPSπΉπΏπΉπΏπΉ
@FukoJilili@AbroadTanzania Kwanza unajua kawapiga lini? .. mambo mengine kama hujui usichangie kunyesha ujinga wako hadharani. Huyu kawapiga juzi ambapo kesi ilikuwa live .. sasa sijui wewe ulikuwa unawaza wapi
@SuphianJuma@SuluhuSamia Inasikitisha kuona mtu mwenye dhamana kama wewe unakuwa na akili za ajabu kama hizi! Vijana tujifunze kutumia akili zetu kwa maslahi mapana ya Taifa
@TBConlineTZ@InvestTanzania Mbona hamsemi kuhusu Jeshi la Polisi linavyotumika kuminya uhuru wa watanzania ambao upo katika katiba ya nchi yao?. Mwambie Mkuu wa nchi kinachoendelea kwa sisi vijana wazalendo kinatutia hasira
@fumbokhanJr Ufaransa Wakati wa utawala wa King Louis wa Xvi kwa sababu ya hali mbaya ya kimaisha umma uliandamana mpaka ikulu. Mke wake mfalme Maria Antoneite kwa kuwakejeli waandamanaji akawaambia KAMA HUWEZI KUNUNUA MKATE KANUNUE KEKI. Kilichofutia ni mapinduzi mke na mme walinyongwa