#Mmanta, dunia imekupa #Fursa nyingi sana; kwa nini umeamua kuwa wa kawaida ili hali wewe ni kipande kilichoshindikana?
Hakuna sababu isiyo na umuhimu, hebu tuambie kwenye comment sababu yako nini.
#KamataFursaTwenzetu#RugeMutahabaFoundation
Maneno maneno yanaweza kukutoa Penzini na wewe mwenyewe (kujiaminia) au wale uwapendao.
Valentine hii yakatae maneno maneno, na focus kwenye kile umachokipenda na kukiaminia
———-
Original Song Credit: @iambenpol#BeatsAndBeyond#PenziniEdition#RugeMutahabaFoundation
Umemuomba Lau Nafasi? Bila kupata Nafasi hutoboi aisee…. Penzini utapasikia tu.
Eeh iwe kwa mpenzi, au nafasi ya kutimiza ndoto yako… kanuni ni ile ile. Kaza moyo, ichangamkie nafasi 😄
#BeatsAndBeyond#PenziniEdition#RugeMutahabaFoundation
#JamhuriYaWamanta iko tayari kuleta #FikraMpya kwa #HelloHelloTanzania.... Ikipewa Nguvu na Mahaba ya "Wajibu kwanza Kabla ya Lawama".
Tar 24 February 2025, Ruge Mutahaba Foundation itasema na #Tanzania, na kuwapa nguvu #Wamanta kushiriki kuijenga Tanzania yetu tuitakayo.
Ukitaka kufanya Mapinduzi kwenye jambo lolote, LAZIMA Udhubutu… usipokijua hiki ki-mstari chembamba unaweza kuishi maisha yako yote ukisubiri bahati.
#VunjaMduara wa kutamani vitu vitokee, mwaka 2025 thubutu na uwe mwanamapinduzi.
#KimstariChembamba
Kwenye kila kitu katika maisha kuna ki-mstari chembamba sana kuanzia kwenye kujitafuta hadi kujipata.
Usichukulie poa kitu chochote.. #VunjaMduara wa kurudia makosa yale yale kila mwaka, huenda ikabadili maisha yako
Cc @Nyonyoma1@vunjamduara@ElishaOsati#KimstariChembamba
Naibu Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma ( @MwanaFA) leo ameshuhudia utiaji saini kati ya Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) na Taasisi ya Ruge Mutahaba Foundation, makubaliano ambayo yanahusisha kufanya Kampeni ya kutoa elimu ya Hakimiliki.
Akizungumza kuhusu Kampeni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa COSOTA Doreen Sinare amesema itatambulika kama “HAKIMILIKI YAKO HAILIKI, KAMATA FURSA TWENZETU” ambapo Kampeni hiyo imezinduliwa rasmi May 09, 2024 Jijini Dar es Salaam katika siku ya maadhimisho ya miliki ubunifu Duniani.
Kwa mujibu wa Sinare, Kampeni hiyo imelenga kutoa elimu kwa Wabunifu hasa Vijana wanaofanya kazi za sanaa, uandishi na ubunifu unaohusiana na hakimiliki unaolindwa na sheria ya hakimiliki na hakishiriki ya mwaka 1999 pamoja na marekebisho yake kama ubunifu wa mifumo, muziki, filamu, sanaa za maomesho, uandishi, matangazo, picha na michoro.
Makubaliano ya pande hizo mbili yatadumu kwa kipindi cha miaka mitatu na yamelenga kufikia Vijana 1,000,000 na kuongeza usajili wa kazi zinazolindwa na hakimiliki ambapo kupitia mkakati wa maboresho ya mazingira ya biashara (MKUMBI) unaosimamiwa na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwezeshaji chini ya ufadhili wa Umoja wa Ulaya (European EU), COSOTA imeahidi kuendelea kutoa elimu ya hakimiliki. #MillardAyoUPDATES
3/3
Huku tukilitambua hilo; @rugefoundation leo tunayofuraha kutangaza campaign yetu ya #KamataFursaTwenzetu itakayoshirikiana nawe kijana kuzikamata Fursa 10 za baishara, huku ikikulete majibu ya Changamoto 10
Kaa tayari, kwenye mstariiiii…… 📯
#RugeMutahabaFoundation
1/3
Fursa zipo, lakini kwa nini vijana wengi hatutoboi?
Wakati kelele nyingi zimejikita kwenye “Kamata Fursa” “Kijana Jiajiri” nakadhalika, kuna jambo muhimu sana limesahaulika —- lile neno “Twenzetu”.
2/3
- Twenzetu kwa sababu tunazijua Fursa ni tuko tayari kukupa taarifa na connection.
- Twenzetu kwa sababu tunazijua changamoto za biashara na tunafanya kazi na wewe kuzitatua.
- Twenzetu kwa sababu biashara yako sio tu ni yako, ila itainufaisha jamii na kujenga Taifa lako.
Pumzika kwa Amani Mhe. Ali Hassan Mwinyi; Raisi wa Awamu ya Pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Daima tutaikumbuka roho yako ya #KamataFursaTwenzetu na mchango wako wa dhati kwenye kuufungua uchumi wa Tanzania #MzeeRuksa
- #RUGEMutahabaFoundation