Ukitaka kufanya Mapinduzi kwenye jambo lolote, LAZIMA Udhubutu… usipokijua hiki ki-mstari chembamba unaweza kuishi maisha yako yote ukisubiri bahati.
#VunjaMduara wa kutamani vitu vitokee, mwaka 2025 thubutu na uwe mwanamapinduzi.
#KimstariChembamba
Kwenye kila kitu katika maisha kuna ki-mstari chembamba sana kuanzia kwenye kujitafuta hadi kujipata.
Usichukulie poa kitu chochote.. #VunjaMduara wa kurudia makosa yale yale kila mwaka, huenda ikabadili maisha yako
Cc @Nyonyoma1@vunjamduara@ElishaOsati#KimstariChembamba