@airtel_tanzania mnaliaibisha taifa kwa utendaji huu!! Binafsi nimechoka kuwa mhanga wa incompetence yenu, pili heshimuni wateja wenu … kwenye kila kitu communications is key.. tatu acheni kupandisha watu ndege mbovu… nne kama hakuna ndege henu pumzikeni plz Sio lazima mpakie!!
TANZIA:
Kiongozi na Mtangazaji wa kipindi cha the Spirit ya Tv3 Tanzania, Ombeni Phiri, amefariki Dunia jioni ya leo Oktoba 23,2024.
Crown Media tunatoa pole kwa Uongozi wa Tv3, Familia, ndugu jamaa na marafiki pamoja na Tasnia nzima ya habari kwa ujumla.
#LalaSalamaOmbeni
Moja kati ya misingi inayozingatiwa ili uwe mwanasheria katika nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani ni kuwa na maadili hayo ameyasema @fatma_karume leo alipoalikwa katika kipindi cha #KasriLaKikeke#CrownMedia#HapaNiNyumbani
Fahamu kuhusu ugonjwa wa sukari inayotokana na kipindi cha ujauzito kwa wanawake, Dk. Khanifa kutoka hospitali ya Agakhan ( @agakhanhospitaldsm ) ametueleza kwa undani zaidi ndani ya #KasriLaKikeke#CrownMedia#HapaNiNyumbani
KASRI LA KIKEKE - LIVE, INTERVIEW NA KAMANDA MURILO, ASAMOAH GYAN. JIUNGE NA @SALYM@THISISTEMIDAYO RUKIA RUKKIE NA SARAH SARAKIKYA. https://t.co/mKWznzmWSi
Dada @MiriamMkanaka anahitaji pongezi katika ishu ya Edger Edson Mwakabela (Sativa).
Kazi aliyofanya yeye na vijana wenzie wengi sana ni kazi iliyotukuka, kuna mengi bado hayajasimuliwa kufika hatua ya leo.
Kwa bahati mbaya sana hamjui nguvu yenu.
Watekaji na wauaji pamoja na watu makatili wameshtuka sana na kuumia sana na nguvu yenu siku za hivi karibuni, nilijua watafanya kila jambo kuwatengenezea ajenda na propaganda wavunje umoja wenu.
Wameshangaa vijana wadogo mmewezaje kwa Edger Edson Mwakabela (SATIVA) na Japhet Matara..?
Walizoea kuona front wanasiasa na watu maarufu wenye majina makubwa katika harakati.
@MiriamMkanaka wewe na wenzio simameni imara, puuzeni chokochoko za aina yoyote.
Ninyi ni washindi na ninyi ni wakombozi wa taifa hili, asiwarudishe mtu nyuma wala kuwakatisha tamaa
Mlipambana Sativa akapatikana, mmepambana anatibiwa.
Nyinyi ni washindi.
Mshinde wivu, chuki, matusi na fedheha pia.