79 odds https://t.co/m8wqrbPWGq
15 odds https://t.co/t3VNdzZdFL
57 odds https://t.co/j1VY2NMPw9
17.5 odds https://t.co/sSJRUNS6aV
Register a stake account via link https://t.co/zNIDVi9VVx
Use welcome code ‘banks’ for weekly airdrops and bonuses
Get the iOS app via link https://t.co/BH533u52QL
You can always contact https://t.co/oeZHXM47XD for all stake bet deposits
Join telegram channel https://t.co/onNA2IpWas
Use stake shield for better chances of winning ✅
Bet responsibly 🔞🔞🔞
BOOMGRATULATIONS ✅✅✅
That’s 7 consecutive double up wins ✅✅✅
Not on stake? Register an account via https://t.co/65ivS3S08J
Promo code banks
Join TG https://t.co/QkkYdxsrFq
Get stake app via https://t.co/TuL0GqUZ56
ANAANDIKA WAKILI WA CHAMA @ShundoGaston
UPDATE KUTOKA UKONGA GEREZANI DAY 252:
Leo nimemtembelea Mteja wangu Mhe Lissu, Ukonga Gerezani kujadiliana naye hatima ya kesi zinazomkabili, ashukuliwe Mungu kwa kuendelea kumjalia afya na siha njema kiongozi.
Gerezani kuna utaratibu mpya umeanzishwa ambao ni kinyume cha sheria, Nilichokutana nacho leo ni kama ifuatavyo;
Mosi, Nimeshindwa kutekeleza majukumu yangu kama wakili kutokana na @MagerezaT kulazimisha mazungumzo yangu kama wakili na Mteja wangu @TunduALissu yafanyike mbele ya Maafisa wa Magereza Ukonga wakisikiliza kinyume na Katiba ya nchi, Kinyume na sheria ya Magereza, Kinyume kanuni za Kimataifa, hivyo nimekataa kuzungumza na mteja zaidi ili tutafute kwanza haki ya usiri wa mazungumzo kati ya mawakili na mteja wetu.
Kwenye hili, @MagerezaT wanafahamu misingi ya kazi, kitendo mnachofanya mnafahamu ni kinyume cha ibara ya 13 ya Katiba, Ni kinyume cha sheria za nchi kuhusu haki za wafungwa na Mahabusu, lakini mnafanya kwa makusudi. Ni lazima kuchukua hatua dhidi yenu.
Pili, Mheshimiwa Lissu aliandika barua kwa Naibu msajili wa Mahakama kuu, tarehe 5 December 2025 akitaka kufahamishwa tarehe rasmi ya session ya kesi ya uhaini inayomkabili pamoja na mwenendo wa kesi hadi ilipoishia. (Taarifa ya Mhe Lissu kuandika barua ilitolewa pia kwa umma) sasa Pamoja na kwamba aliandika barua tarehe 5, cha ajabu ni kwamba barua hizo zinaonekana zilifika Mahakamani tarehe 15 December 2025, yaani juzi Jumatatu.
Kwa mnaofahamu Jiografia ya Jiji la Dar Es Salaam kutoka ukonga hadi Mahakama kuu pale posta , imewachukua @MagerezaT siku 10 kufikisha hiyo barua.
Itakumbukwa session ilipoahirishwa ilipaswa kuanzia November 3 na kukoma tarehe 11 November 2025, lakini hakuletwa Mahakamani hadi siku ya tarehe 11 na tangu siku hiyo hakuna tarehe rasmi iliyopangwa.
Ni muhimu pia kukumbuka kwamba, utaratibu wa session ni tofauti na utaratibu wa kawaida wa kusikiliza mashauri ya kawaida. Leo session haijulikani itaanza lini, Lissu anaendelea kushikiliwa kwa siku 252 sasa na hakuna kesi inayoendelea.
Tatu, Kuhusiana na Maombi yake ya kuomba kuunganishwa kwenye kesi ya Mali za Chama. Mhe Lissu ameandika barua rasmi kwenda Mahakama kuu, kuifahamisha Mahakama kwamba atajiwakilisha yeye mwenyewe kwenye Maombi namba 28922/2025 , Tundu Antiohas Lissu dhidi ya Said Issa Mohamed & wenzake.
Katika barua hiyo, pamoja na taarifa hiyo ya kujiwakikisha, Mhe Lissu pia ameitarifu Mahakama iwe inampatia nyaraka na taarifa zote kuhusiana na shauri hilo yeye binafsi kupitia Mkuu wa Gereza Ukonga.
#FreeTinduLissu
#SamiaMustGo
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
I don’t wanna hear no excuses for the Rockets. No KD, No Boogie, Steph injured and no points in the 1st half. This game was on a platter for Houston and Curry and Klay reminded everyone what it is.