Matarajio yetu katika maisha yawe kiasi kusudi tuweze kukabiliana na aina yoyote ya matokeo utakayopata na kukufanya kua imara zaidi.
Good morning family
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema Linda furaha yako. Kuna mambo mengi yanayoweza kukunyang'anya amani na furaha kupitia sababu ndogo ndogo.
Hivyo, kuwa makini na usiruhusu changamoto za kila siku zitawale mawazo yako.
"Nidhamu haimaanishi kufanya vitu vikubwa sana kila siku; inamaanisha kurudia kufanya vile vitu vidogo sahihi kila asubuhi bila kuacha, hata kama huna mzuka navyo. Hapo ndipo siri ya utofauti ilipo."
Good Morning Everyone 🌄🌄🌞
Tumaini ni sumu kali zaidi, inapunguza hasira ya haki, inakushawishi uvumilie vitu ambavyo hupaswi kuvumilia na utavumilia kwa maisha yako yote usipokua makini.