Wanangu wa beting nawapa Kodi ya mkeka wa 50/50 ukipata usinisahau kwa kidogo ulichopata 0722219337 tukikosa Mungu mwema tuta booom siku nyingine
Bournemouth vs Liverpool=2x
Leeds vs crystal palace=home over 0.1
Manchester city vs Sundaland=over 1.2
@zoetjesheeftX Kufa Kila mtu atakufa sema hatujui ni lini na nani ataanza! Hakuna mtu aliekamilika chini ya jua ote tumetenda dhambi Kama yupo basi mmh ila Mungu ndie hakimu wa haki ...
Yani page yangu inaleta tyu khabari za Eron Musk sa sijui ndio Mungu kafungua milango ama kwa sababu ndio mmiliki wa x nyie wenzangu vip huko ? Kama hamna jiandaeni kuniita tajiri no moja Duniani