@sonnino123 Ilipofikia ile timu tatizo sio kocha,ndio maana pamoja na vipigo vyote man u amepokea bado hamna mabango ya carrick out,maana haiwezekan makocha wote toka babu fergie aondoke wawe wabovu, wangekubali tu kumuuzia muarabu kipind kile wameiweka sokon
@mkemi4mkUu Kilichokuwa kinaogopesha sio idadi ya walimu,ni mamlaka aliyokuwa nayo na matokeo yanayokuja baada ya kumbishia,police hawazidi hata theluthi ya raia wote ila wakiamua tulale saa moja usiku watu wanatii,sio kwamba tunawashindwa ila mamlaka imefanya kaz
@derc2323@MkulimaKante@kighera50 Kuna maendeleo makubwa ya sayansi na technolojia kwa ujumla,leo inawezekana kupata mtoto bila kukaa tumbon kwa mama,unadhan kwann hakuna technolojia inayozuia kifo? wala inayoweza kutabiri utakufa lini,wapo walioambiwa utakufa ndan ya mwaka na wakaishi zaid
@MkulimaKante@kighera50 Je hakuna wanaokunywa sumu na wakapona,waliopigwa risasi kibao na kusurvive mfano lissu,kwenye kila situation wapo wanaopona,kwenye imani ndio tunasema siku yako haijafika,ndio maana kuna majanga mtu anatoka na anakiri kabisa sio ujanja wake wala ujuzi wake viliofanya apone.
@Vitabu247 Hiyo sentensi inafanya kaz kwa wenye pesa tu,ukiwa broke ndio utaona ni jinsi gan wapo wachache maana kila utakayemfuata anakuambia nipo kwenye relationship
@George_Ambangil Hivi inakuaje wachezaji maisha yao yote wamekulia kuufahamu mchezo,kuanzia academy wanafundishwa basic zote za game lakin wakikutana na kocha mbovu ghafla timu inacheza kama bonanza ya bodaboda ni kama hata zile basics hawazitumii.
@George_Ambangil Asipoangalia saka ataangukia kundi la kina martial,Rashford,Sancho ..unaona kabisa wana kitu kikubwa lakin kukimaintain day in day out ndio changamoto..wanaishia kuwa mediocre tu, Saka anakupa game mbili tatu super then zinazofuata ni kama anaexist tu.
@Paulmeda1 Nimeona kwenye teuzi za juz kuna mother mmoja alikuwa mkurugenz wa shirika ubelgiji ameteuliwa ukuu wa wilaya,amekubali kuacha kule amerud zake bongo ...binafsi kwa nature ya kaz za ukuu wa wilaya au mkoa siwez kuwa sehemu nzuri nikakubali hivyo vyeo vya lawama
@RexCity01 Like you have a choice, if it happen it happen, unless you have money for transplant in Turkey, otherwise you have to live with it regardless.
@DanyeMufasa Hii wameiongeza specific kwa michezo mingine ukiacha soka, hiyo ni kutokana na maelezo ya kiongoz wao Yahaya Mohamed ( kama sijakosea jina)
@kasesco_tz Kwa wazee wengine kujifanya unatoa pesa ya matumizi ni kuingilia manhood yake, kwamba unahisi yy ameshindwa kufanya hivyo, kama sio wa hivyo kutoa hapa na pale sio mbaya
@Brain_pro36 Kuna moja dem alikuwa na jamaa wawili,mmoja wa mtaan kwake mwingine mtaa wa pili,huyo wa pili akapeleka keki kwa dem wake,dem akaipeleka kwa mwana wa mtaa,aliyetoa kek akapata taarifa akawa anamtafuta mshikaj,walipokutana mwenye kek akawahiwa kisu cha shingo,alifia getin hosp.
@Sisimizi3 Kuna interview moja ya Patrice Evra anasema wakat anacheza alikuwa anachukia sana golikipa akifanya save ya hatari anakimbilia mabeki kuwalaumu,anasema na yy amefanya kaz yake kama ambavyo wao mabeki wanavyookoa hatar bila kupiga kelele