@siadevinci@EsirEid Mambo mengne kama yapi labda? Unataka vurugu? Kukaa kmy ni suluhisho? Wanao ona kuongea na kutafta namna Bora ya kuongea ndo wamechagua njia hiyo kama hupendezwi nayo toa maoni watumie njia hipi ili kukukomboa
Wapinzani wa Simba SC kunako nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika 'Stellenbosch FC' wamefanya mazoezi yao ya kwanza leo hii Zanzibar.
Mazoezi ya mwisho watayafanya siku ya Jumamosi,
• Wanaonekana ni wachangamfu mno, sjui ndo tuseme wamepapenda huku kwetu, au...
Hersi ndio Kiongozi wa Kwanza wa Mpira alipewa Hype Kubwa sana, tukamuona kama genius kwenye mpira kumbe wa kawaida sana, Mangungu is far better than him.
WANALUNYASI ratiba ya leo hii hapa ARATII iwafikie AMPHIBIA popote walipojificha😂😂😂😂
✍🏿Tunaanza na Wasafi Sports Arena saa 08:30,
✍🏿ikifika saa 09:00 tunafuata na Hili Game pale Clouds,
✍🏿 09:00 tutakuwa crown fm
✍🏿wakipiga Matangazo tunarudi Wasafi,
✍🏿then tunaenda Sports HQ kwa Majizo saa 11:00,
✍🏿ikifika 12:00 tunaingia EATV kipenga Extra,
✍🏿alafu tunamaliza na TvE huwa wanamaliza saa 9
AMPHIBIA vp ratiba hii bado mnayo au tusiwapangie 😂😂
WANALUNYASI ARATII afu toka ndukiiiii 😂😂