@joshuamsuyatz Ila broo haikuwa na haja ya kuweka huo mstari wa kusema "Sijamkuta na Bikra" hapo utaleta agenda nyingine kwa raia alafu waanze kuendeleza kesi😂🙌
Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?!
Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana DRC mpaka Kabila akachemka.
NB: Hawa wote MALOFA pamoja na waliowatuma,matako yenu😎
@Thereal_taivina Tumia sofascore kaka, mara nying sofascore kwenye ligi ngumu au mechi ngumu huwa wanaku direct namna ya kuicheza na matokeo unayapata, mfano hii game cheza option ya (Draw or Over 2.5) kwenye sportybet inatoa asilimia 99.5%
@BarakaMaviatu Daah hii imenisikitisha sana aisee, hili jeshi linadhalilika sana, lina watu wenye uwezo mdogo sana katika kufikiri, yaani kajiamini kabisa anaenda kuongea na halaiki alafu anachokiongea ni hiki kweli? Daah!!😅
@_Aldodo 😂nafkiri ingetungwa sheria kuwa kusomesha watoto elimu dunia iwe ni lazima, ikitokea jamii inayokwepa elimu dunia wapewe adhabu kali sana, Nafkiri tusingekuwa na watu wa namna hii katika jamii yetu
@MarekaMalili Huyu kibaka tu kaka, hamna sheikh hapo!! Sidhani hata waliosoma Dini ya kiislamu wanamuelewa huyu, huyu ni kibaka hamna Ethics za uislamu zinazofanya mtu awe hivi, alafu sidhani kama anaelewa anachokiongea