بينما اختلق الآخرون الأعذار، نهض أحدهم لمساعدتك، فلا تنسَه أبداً
Muda ambao wengine walikuwa wanatengeneza visingizio, kuna mmoja alisimama na kukusaidia. Kamwe usimsahau mtu huyo.
Wasakatonge mtaani hakuna rehema.
Ukilala sana, wenzako wanachukua nafasi zako.
Asubuhi hii amka na hasira ya mafanikio.
Tafuta pesa kwa halali, ongeza maarifa, punguza maneno mengi.
Kila saa ina thamani usiiuze kwa uzembe.
Good Morning Familia 🙏
Kusudi la Nabii Yusuph halikupatikana Ikulu, bali gerezani.
Barua za mtume Paulo ziliandikwa mikononi akiwa na minyororo.
Maumivu sio adhabu, ni maandalizi.
Unaomba nguvu, Mungu anakupa mahangaiko.
Unaomba Imani, Mungu anakupa ukimya kwenye shida zako.
Unamuomba hekima, Mungu anakupa subira..
*SIKIA: Haupo kwenye maumivu kwasababu Mungu amekusahau,*
Upo kwenye maumivu kwasababu Mungu anakuandaa.
Leo kijiweni @AziziKasese alikua anatukumbusha hili✊Laptop Kali waone @chandolaptop
Tuna group channel yetu ya utoaji wa elimu kuhusu namna bora ya kutumia laptop👇
Follow the Chando Laptop Kiganjani channel on WhatsApp:
https://t.co/0FeeFosgYS
Huu Ni Muda ambao Vijana tunatakiwa kuishi Maisha Yetu Kama Israel na Marekani.
Popote Unapoenda Kwenye Jambo Lako hakikisha Unarinda Interest za Vijana wenzako Wengine.
Kwa Mfano wewe Ni Mfanyabiashara wa Nguo Unaongea na Mteja akitaka Kiatu ambacho Huna Unatakiwa Direct Umuunganishe Na Kijana Mwenzako ambaye anauza hicho Kiatu.
Kama Wewe Unatoa Mikopo Bank Akija mtu anataka na Bima ambayo maybe hapo kwenu hamtoi Inatakiwa umcheki Kijana Mwenzako ambaye yupo Kampuni ya Bima Kama Mimi na Msaki Nimpatie Hiyo Huduma ya Bima.
Kama Wewe Unauza TV Akaja Mteja ANATAKA TV na Laptop Usisite Kuwatafuta Kina ChandO na SAGUTI LAPTOP wakampatia Laptop Nzuri.
Kikubwa Sisi Kama Vijana tukiamua kufanya Vitu Kwa Pamoja tujitahidi Kufanya Kazi kwa Uaminifu mkubwa ili aliyekupa huyo mteja Kesho akupe Mteja mwengine.
So Kwakumaliza Lazima tupeane Fursa.
Maisha ya watu wengine yasikupe msukumo wa kuwatamani, utajikuta unashindana na watu wenye historia ya familia tofauti na yako. Pia mafanikio ya watu wengine yasikufanye uumie kias kwamba uanze kuwachukia. Sisi sote ni tunda la Mti moja lakini kila tunda litaiva kwa wakati wake✊
Bro, unaweza isimamisha biashara au kampuni yako kwa Tabu na ikasimama kwa miaka 10🙌alafu ikaja kuangushwa na mwanamke wako ndani ya mwezi mmoja tu Usipo kuwa MAKİNİ…
Dell Latitude 7350✅ 400,000/=
Core m5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
Processor 1.4GHz✅
Touch screen and detachable✅
Tablet mode✅
Backlight keyboard✅
Kioo inch 14✅
Generation 5✅
It has 2 cells of batteries✅
Battery It last more than 4 to 7 hrs✅
Bei: 400,000/= TU