@Bendela_Jr Story ipo pande zote mbil lakin kasheshe ipo nani aliyetak kuchinjwa WAISLAM tunaamini ni ISMAIL na wakristo wanaamini ni ISIHAKA hapo ndo penye tatizo jipya ILA KAMA ukiw msomaji mzur wa biblia na mwenye uwezo wa kuunganisha doti lazima jibu litarud kwa ISMAIL TU
@pkulwapeter@MalkiaTabasamu Niulize swal hivi unajua kirusi kikiingia ndan ya dam ya mwanadam ndani ya masaa 24 wanakuw wamejizalisha wangapi ? Nemda google kakiangalie hcho kirusi ndan ya masaa 24 kitakuw kimejiproduce kwa kiasi gani HALAF ndo uje upost habar za PEP
@OfficialKyejo@Mastown_ Ambacho ndo kama comfirmation test SAS SAWAL LANG lipo hv kwa nini usipimwe na HICHO kipimo cha kukomfirm directly ambacho kwa maelezo ya wataaalamu chenyew ndo kipo sure kwa asilimia zote?
@OfficialKyejo@Mastown_ Yaan mtu unapima HIV serious ishu UNAPIMWA na kipimo ambacho siyo sure kwanza SASA JE MFANO hicho kipimo kikisema NEGATIVE kinaaminiwa wakat kipo cha kukomfirm directly SAS KWA kuwa syo sure lakin kwenye upande wa jibu lkja nwgative linakubaliwa likiwa posgive