@FKihamu Uholanzi wamefeli wao tu leo, wala sio kwasababu Morocco alikuwa bora 😃 mfano kwenye penalty walikuwa na nafasi ya kumaliza mchezo. Ni ngumu sana Canada kuwazuia Morocco labda wabahatike kama Morocco walivyobahatika leo 😃
Ujerumani mpira uliisha kipindi walipoanza kumletea Ozil mambo meusi, baadae walipokuja kupotea zaidi ni walipolivalia njuga lile suala. Hadi midomo wakafunga.
Nilijua suala hilo limeisha
Wiki mpya ni fursa mpya.
Neema mpya.
Rehema mpya.
Mungu akitangulia mbele yako, hakuna changamoto iliyo kubwa kuliko uwezo wake wa kukuongoza, kukulinda, na kukubariki.
Amina. ����