@jemedarisaid Usichokijua ndugu Kazumari this is a buying time strategy, baada ya CAS, Yanga watafungua shauri TFF as the time going on, them mechi zote za ligi zitaisha itabaki hiyo tu. Kisha TFF watatupilia shauri hilo
Then Yanga wataitaka hiyo derby ipangiwe tarehe wakati huo tayari Bingwa
@ExMayorUbungo "Kama vipi itolewe FOMU MOJA TU ili ashindwe kugombea kisha afukuzwe kwenye chama msaliti" - Kada wa Chadema
Mmefikaje huku enyi wahubiri wa Demokrasia? Demokrasia mnaihubiri kwa wengine ilihali wenyewe hamko tayari kuiheshimu?
@ExMayorUbungo Naskia eti leo Aziz Ki anawaaga Yanga na kutangaza kuhamia Simba baada ya kupewa donge nono na tajiri Mo kule Dubai, atafanya hivyo kwenye app ya Yanga 🤣🤣🤣
@godbless_lema Kanuni ni ile ile...
"Never trust a politician".
Siasa ni ajira ya kila mwanasiasa, atakuwa hapo alipo kwa kuwa anapata ujira wake siku akikosa anageuza gia angani.
@MariaSTsehai@TunduALissu@IsmailJussa Kuna nyakati hujisemea nafsini mwangu; afadhali Bunge Maalumu la Katiba lisingekuwepo, tuishie kwenye Rasimu ya Jaji Warioba kisha Wananchi tuipige kura ya Ndio au Hapana. Mchezo uishie hapo tu. Maana ndio ilibeba maoni yetu halisi. BMLK liligeuka kuwa kirusi dhidi ya Katiba Mpya
@Masandawana We (@SimbaSCTanzania fans) are too disappointed as we expect you can make a revenge for us against @YoungAfricansSC who beat us 5-1 last November. Tutaficha wapi sura zetu sasa? Mmezingua masambwanda!
Tunasherehekea Utumishi wako katika Taifa letu, maisha yako yamebaki kama hadithi nzuri ambayo wajukuu zako tutaendelea kuhadithiana vizazi hadi vizazi.
Hakika Sote Ni Waja wa Mwenyezi Mungu Na Kwake Ndio Marejeo Yetu.
Allahuma ighfirlahum warhamuhum wa'asknihu fil janna.
@nhiftz na @wizara_afyatz kulikoni tena mnashindwa kuafikiana na watoa huduma binafsi? Hivi vifurushi vimekuwa vikilalamikiwa kwa muda sana nafasi ya majadiliano kitaasisi nayo imekwama, sasa itakuwaje? Watu wataumia kukosa matibabu na pesa yao mnawakata kila mwezi.
@ayubu_madenge Huku wamekata tayari mchana huu, tulikuwa masjid swala ya dhuhur imeisha KIMYAKIMYA na watu wamekimbia majotrooo. Labda gridi haifiki huku Manzese Darajani inaishia Ubungo jamaa hawakosi sababu
@earadiofm Nani mlimpa kibali cha kuingiza Sukari ya Brazil? Anauza bei juu kiasi kwamba wauzaji wa jumla wanauza kilo mpaka 4,250 Sasa mnataka wauzaji wa rejareja wauze bei gani? Halafu tukitoa taarifa ndio bei itashuka? Usimamizi mbovu mnajua tatizo lakini mnawaangushia lawama wasiohusika