Mheshimwa Rais mama Samia Suluhu Hassan nimeipenda sana hotuba yako ya leo tarehe 04 January, 2022. Nachotaka kukuhakikishia Watanzania tupo pamoja na wewe ktk kuendeleza gurudumu la maendeleo.
Watu wenye mawazo ya 2025 wakae pembeni mapema sana.
16M mkopo akatwe laki 530 kwa miaka saba .?,Bank wanaiba kweli Lakini sidhani kama kuna Bank wapo na huu Ujasiri.
Maana yake mpaka deni linaisha atakuwa kalipa Mil 44.5.,Huyu kakudanganya Mkali halipi hiyo Pesa au kama analipa hiyo pesa basi Mkopo aliochukua ni zaidi ya hiyo 16M.,ukute alitop up Bank wakachukua chao yeye anahesabia kile alichopokea yeye..๐๐
Je, Kuangusha Bomu la Atomiki Kulikuwa na ulazima?
Fahamu kwa undani kuhusu Hiroshima na Nagasaki.
Mashambulizi ya atomic bombs kwenye miji ya Hiroshima na Nagasaki mnamo Agosti 1945 yalikuwa miongoni mwa matukio ya kusikitisha zaidi katika historia.
Shambulio hili la Mabomu ilikua ni mara ya kwanza na pekee kwa silaha za nyuklia kutumiwa katika vita, yakisababisha kujisalimisha kwa Japani na kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
Uzi๐งต
Simba SC are set to put in place new structures ahead of next season. ๐จ๐น๐ฟ
Mo Dewji will now be part of โkey decisionsโ that will be taken at the Club including monitoring recruitments/signings of new players.
Mo will be involved and be much closer to the team more than ever.
Thoughts on this new decision, Simba fans?
#AfricanFootball
#NguvuMoja ๐ฆ
MADHARA YA VYAKULA VILIVYO KAANGWA..(JUNK FOOD). ๐ฝ
Vyakula vilivyokaangwa vinaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ikiwa hutumiwa kwa wingi.
Katika makala hii nita elezea madhara kadhaa yanayohusiana na kula vyakula vilivyokaangwa.
1. ONGEZEKO LA UZITO.
Vyakula vilivyokaangwa mara nyingi vina kiwango kikubwa cha mafuta na kalori. Kula vyakula hivi kwa wingi husababisha ongezeko la uzito na hatari ya kunenepa (Obesity).
2. MATATIZO YA MOYO.
Vyakula vilivyokaangwa vina mafuta mengi, ambayo yanaweza kusababisha matatizo ya moyo kama vile kuziba kwa mishipa mikubwa ya damu, shinikizo la damu N.k
3. HATARI YA KISUKARI:
Kula vyakula vilivyokaangwa sana kunaweza kuongeza hatari ya kujitokeza kwa kisukari cha aina ya 2 (Type 2 diabetes) Hutokea pale mwili kushindwa kutengeneza insulin yakutosha.
4. MATATIZO YA UTUMBO.
Vyakula vilivyokaangwa vina mafuta mengi na huwa na kiwango kidogo cha nyuzinyuzi (fiber).
Hii inaweza kusababisha matatizo ya utumbo kama vile kuvimbiwa na matatizo mengine ya utumbo (Intestinal obstruction).
5. HATARI YA SARATANI.
Vyakula vilivyokaangwa kwa muda mrefu na kuchomwa sana, Vinaweza kuwa na kemikali zinazosababisha saratani.
NB: Pia magonjwa mengine kama ugonjwa wa ini, ugonjwa wa figo, na hata magonjwa ya neva.๐
JE... WAJUA...??
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.
Kunyonywa Matiti hunapunguza risk ya kupata uvimbe ambao husababisha kansa ya matiti.
Matiti yanatakiwa yanyonywe mara kwa mara kwa kadri iwezekanavyo..
Wasaidie wanawake zenu kupambana na risk ya kansa ya matiti.
NB: Wanaume fanyeni kazi yenu nyonyeni matiti, Na wanawake kuweni wepesi kuachia kunyonywa.
Hakikisha unafanya uchunguzi wa matiti ukikaribia kuingia hedhi yako,, Angalia vizuri rangi,, kama kuna uvimbe wowote mwekundu, Maumivu N.K
What a beauty! ๐
The best of Clatous Chama's 3๏ธโฃ goals against Horaya AC had to be crowned with the #GoalOfTheWeek award for matchday 5๐ฅ
#TotalEnergiesCAFCL