Hivi kwanini kwenye mtaala wetu WA elimu hakuna kujifunza biashara na pesa kuanzia awali?
Kwanini hatufundishwi na vitabu vya wafanyabiashara wakubwa waliofanikiwa kama Moo Dewji, Mengi nk?
Vivyo vivyo wakulima, wachimba madini, wafugaji nk?
NAIBARIKI JUMATATU YANGU.
Mimi ni Mshindi siwezi kushindwa. Nakataa kujinenea mabaya juu Yangu na kujilaani kwa maneno ya kinywa changu. Sitajitamkia maneno ambayo hayapo kwenye Neno la MUNGU juu Yangu.
Haleluya, Asante YESU, Wewe ni Mzuri BWANA.
Bado nakumbuka maisha ya Ujamaa nimeishi, mgonjwa ni wa jamii, mtoto wa jamii, ukichinja unashare na jamii, ukivamiwa jirani ndio wa kwanza kuoiga filimbi, mtoto wa jirani akifeli wako kafaulu hufurahi.
We used to have a loving and stable society, so was a nation.
Donβt be surprised when the career, the man/the woman, the income, and the peace all meet you at the same time.
Youβre walking into your βeverything at onceβ season.
This CV has an ATS score of more than 92π€―
This CV helped many in getting an interview calls from companies like Google, Microsoft, & more.
I am sharing the exact editable ATS Resumes templates!
To get it:
1. Follow me
2. Retweet & Like
3. Reply "CV"