Sheria ifuatwe mkondo wake wawajibishwe kisheria zaidi tumechoka uonevu,vitisho ulevi wa madaraka na kadhalika wamaasai wanapigwa kimabavu okoa bandari zetu
Nikija kupost picha ya challenge humu ndani mniue "Yaani anko wenu nimeambiwa challenge niwaachie kina dada" mwingine kampigia simu mjomba wangu kamwambia Eddo anauzia sura gari Yako huko TL. Na mimi natafuta utelezi, wajomba hamtaki nichachue au mnataka niendelee na nyeto๐๐๐
Sakata la kiungo wa Yanga SC, Feisal Salum โFeitoto' na klabu yake hiyo limeingia kwenye ukurasa mpya baada ya uongozi wa @yangasc kuripotiwa kumshitaki nyota huyo kwa Kamati ya Sheria na nidhamu ya klabu hiyo kwa makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu.
Kupitia barua ya Kamati ya Sheria na Nidhamu ya YOUNG AFRICANS SC kwenda kwa Feitoto iliyotumwa mnamo Mei 16, 2023 ambayo inaonekana kuvujishwa makusudi, Kamati imeeleza kuwa imepokea malalamiko kutoka kwa uongozi wa Klabu inayomtuhumu Feitoto kwa makosa mbalimbali ya kinidhamu.
Katika barua hiyo Kamati ilimuelekeza Feitoto kuwasilisha utetezi wake juu ya tuhuma zinazomkabili na kumtaka kuhudhuria kikao ambacho kilitakiwa kufanyika Mei 24, 2023 saa 4:00 Asubuhi katika Ofisi za Klabu zilizopo Jangwani ukumbi wa mikutano kwa ajili ya kumsikiliza yeye pamoja na Mlalamikaji na kufanya maamuzi juu ya tuhuma hizo.
Wakati klabu ikiamini Feisal ni mali yao kutokana na ushindi waliopata kutoka kwenye Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji, ripoti zinadai mchezaji yeye anaamini mkataba unampa nafasi ya kuuvunja wakati wowote na kulipia fidia kama kifungu cha 17.4 cha mkataba kinavyosema.
Imeripotiwa pia kuwa upande wa Feitoto umeamua kuwasilisha malalamiko yake CAS (Court of Arbitration in Sports) na huenda leo wakapeleka taarifa kwa klabu (Yanga) kuhusiana na dhamira yao hiyo baada ya Feitoto kushindwa kupata anachoamini ni haki kutokana na maamuzi ya kuvunja mkataba na klabu yake.
Na. @JeremiahSulle
#KitengeSports