@kkkTZzz@godbless_lema Nyie mnaopenda dunia na kuogopa kifo haya ingie barabaran c serkal ni nyumbani kwako chezea ndevu sio serkali wewe ni wa serkali na nchi ni ya serkali itakufanya itakqvo na pasiwe na lolote jaribu
@godbless_lema Sasa tuazie apa kwanini mnachukia serkali ikifungua ostal kwa raia wake wakrsto ndio matajiri peke yao kumiliki maosptal yte haya na shule semeni ukweli japo kidogo udini unawala roho wakat uhuru nyerere alifungshwa swaum na waislam wakijua ni mwezao ndio wakwaza kuwaua waislam
Tatizo mmezoea kudekezwa na kutomaswatomaswa na maneno ya “tema mate nimchape” kama kitindamimba.
Nimefurahi Mama Samia ametoa hotuba ya ONYO KALI kama Mkuu wa nchi na Majeshi.
Ushauri wa bure kwa vijana; andamaneni tena Desemba 9, Christmas au siku nyingine mtajuta kuzaliwa.