@Royal_Tv_Tz Fukia haraka mbwa uyo, leo tunaknywa kwa kuondokewa na huu mzigo. Mungu kazi yako imechelewa lakini asante kwa kidogo ulichotupatia wapigania haki
@MariaSTsehai@TunduALissu Tumewakaba kila sehemu. Hawana amani ndani Na ata nje ya nchi. Muda si mrefu tunachukua nchi yetu, lakini tutegemee kupoteza watu wengi maana hakuna ukombozi unaokuja kirahisi. Mapambano yaendelee hakuna kurudi nyuma
@PSanjito@Sativa255 Tuwaachie silaa zaotutoke wote mil60 dakika 20 tumeipundua nchi. Alafu jeshi si ichukue nchi kipindi hiki au na wao pia wametawaliwa🤣🤣🤣
@Sativa255 C hawaruhusu huo ujinga. Wakenya wamewafanya wafunge Twitter. Apo wanamchokonoa Elon musk. Chadema watumie hii wapate ufadhili wa Elon ndio watakiona cha moto hawa ccm