@Abraha1Brighton Tatizo lake huyu ni kubwa Sana hajaona wanawake wengine ndio maana amekomaa na hiyo ng'ombe. Mpitishe mitaa iko na wadada wazuri wanaojiuza
@EsirEid Kuna mda elimu uliyopata Kenya naona impact yake. Unaandika ukiwa na akili timamu, shida wenye akili wakiwa wachache ukawajaza katikati ya wajinga lazima mtakuwa uniform. Narudia tena be blessed.