@mananajr_@DrStrangejm Epuka kutumia Dawa bila kuonana na daktari au mtaalamu wa afya na kufanya vipimo kwa ugonjwa husika. Kuepuka kutumia pombe, soda na food addictive kupitiliza, epuka kufanya ngono zembe (homa ya ini) kwa wagonjwa wa kisukari na presha tumia dawa kama ulivyoelekezwa
@MfalmewaX1@DrStrangejm Hamna bora ini likizingua utaanza kufanya taping ambayo chupa mmoja ya ile protini unayopoteza kwenye taping ni 230000- 350000/=lakini ini hupelekea kupata kufa kwa ubongo na hata matatizo ya moyo. Mzee!!! Mwenyezi Mungu atuepushe na maradhi na ufukara.🙏
Today i announce my retirement from football, Four different countries six different clubs, A boy from Muthurwa with a big dream, carrying a Nations pride everytime i stepped onto the pitch. To my family, friends, agent, the fans and the coaching staff that helped me throughout
Biashara tatu zisizo na Hasara, Kusoma Qur'an, Kusimamisha Sala tano, na Kutoa Sadaka, hizi ni biashara ambazo Faida yake haipotei Duniani wala Akhera, anza na kidogo, endelea kwa Uthabiti Allah huona Juhudi zako zote.
Kwa wale wenye kuamini ni muhimu sana kusoma maisha na visa vya wale waliokuwa kabla yetu. Kwa sababu wengi wao walikuwa wameneemeshwa vitu vingi lakini wamebaki historia katika ulimwengu.
Ukimaliza kusoma visa vyao, geukia familia na ukoo wako. Wakumbuke mababu zako walivyokuwa na neema ya mali nyingi (baadhi sio wote), nguvu za miili yao (miamba ilikuwa na wake hadi 9 mtu mmoja).
Watizame wazazi wako, njoo kwako na waangalie vizuri watoto wako utagundua hayakuwa maisha ya Dunia ni chochote zaidi ya starehe ya muda mfupi tu. Hivyo hatuna haja ya kufanyiana ubaya kwa namna yoyote ile kwa sababu kila akifanyacho mwanadamu kina malipo yake.
Have you forgotten me already? I am the young man who you all watched burning alive!
I am Shaaban Al-Dalu, a 20-year-old from Gaza, known for my kind and generous heart and dedication to making my family proud.
From a young age, I loved visiting mosques to listen to Islamic lessons and learn, recently completing my Quran memorization, which filled my mother with pride.
Forced to flee north Gaza, we sought safety in Al-Aqsa Martyrs Hospital, but on October 14, 2024, the Israeli occupation’s brutality reached us even there, and I was martyred, burned alive in what we thought was a safe haven.
Ndoto za Yusuph zilikua kuja kuwa Mhandisi wa umeme (Electrical Engineer). Na alipomaliza kidato cha 4 alichangua kwenda DIT. Wakati anasubiri matokeo akaenda kumtembelea kaka yake aliyekua mwanajeshi kambi ya Ngerengere, Morogoro. Na hapo ndipo kila kitu kilibadilika.
👇👇👇
Have you noticed how ISIS has not done anything to support Palestine? What do you think that might be? Because ISIS are mercenaries operated and funded by certain allied nation. That’s my opinion anyway.
Yahya Sinwar provides a new perspective for the west about Hamas.
Why are they called terrorists?
The newly martyred leader was born into genocide and expelled from his home.
He was raised in a refugee camp amidst war.
He spent over 20 years in Israeli prison studying his faith and how to liberate his people.
How can we be so arrogant as to call his actions anything else than self-defense?
Why is our image of a terrorist a man dressed in a keffiyeh with an ak-47 instead of a suit and a nuclear code?
Perhaps we have been tricked.
Perhaps the people responsible for brainwashing us with media are the same ones currently committing genocide.
Perhaps the real terrorists are at home.
Shocking: US keeps bombing from country to country, waging war after war, supplying weapons and bombs to enable genocide, plotting regime change in various capitals and building military bases all over the world, yet Washington keeps telling people that China is aggressive, belligerent and the biggest threat. Are they trying to fool people with low IQ like themselves???? China has done nothing remotely like the above.