@nyenzino_ Hahaha ankali unapenda vita sana aloo..
Sesi ameingia na DWR ya Mengi hapa.
Pilau limeingilia kwa bibi Nyumbani.
Tule tudude nintutamu sanaa..
@Yaund1Happyness
@TanzaniaOneJezi Yuko ma options nzuri sana za biashara japo kua hizo zote sio rafiki kwa beginner wa hizo biashara.
1. Biashara ya Fuso hizo tandam zinataka ukarbu maana madereva wako rough sana.
2. Mashamba Ni risk kubwa sana na inataka uzoefu na ukarbu kuliko kawaida.
@TanzaniaOneJezi Ofsa asipanic.
Mwambie aweke kwanza FDR/UTT ambapo anaweza kutract interest ya 1% per month.
Then akiwa na certificate yake akaikopee hata 50%ya hiyo hela ( 75m) then aone kama ataweza kulipa 75m kwa miezi hata 36 ( miaka mitatu3).
Then atakua amepata uelewa wa biashara
@Kangaboy_ @wasafirtanzania @PabloYende@SuluhuSamia SIJAMBO MAMA. SHKAMOO MAMA, TUMEONA UMECHANGIA ALLYS KUNUNUA IRIZAR i6 Mbili mama.
Na sisi kama WASAFIRI TANZANIA TUNAOMBA UTUPE STAND YA MAGUFURI ZIINGIE SCANIA PEKE YAKE MAMA. ZA KICHINA ZIENDE UBT.
Asante sana