Ninashukuru na kujivunia kutambuliwa kama miongoni mwa Wanawake 20 Waliotia Mguu katika Sekta ya Ujenzi, Uhandisi na Mazingira Bunifu na UJ CARINBE - Chuo Kikuu cha Johannesburg Afrika ya Kusini katika #MweziWaWanawake2025.
Asante kwa kutengeneza nafasi ambapo sauti, uongozi, na mchango wa wanawake katika sekta ya ujenzi vinathaminiwa na kusherehekewa.
Nitaendelea kujitoa kujenga mazingira jumuishi si tu kwa zege na chuma, bali pia katika sera, uongozi na uwezeshaji.
https://t.co/x0CpMxz4XR
@ujfm@UJTelevision@go2uj
https://t.co/wJQdMUuWaf
#WanawakeWaUjenzi #UJCARINBE #UongoziWaUjenzi #MweziWaWanawake #MazingiraBunifu #WanawakeWaNguv
GOMA LINATEMBEA MWENDO WA NGIRI 🔥
📍Mwanga-Kilimanjaro
Mbegu ilipandwa tar 11/7
Sasa ina Siku 19 toka kupanda Mbegu.
Mpka sasa;
-tushaweka Mbolea Mara 1
-tushanyunyizia kiuadudu,kiuakuvu na booster
#tukaforcechaka
-Hii Mbegu ya tikimaji tuliipanda tarehe 11/7
-Tayar tushaweka Mbolea ya kupandia tarehe 26/7
-Leo inanyunyuziwa kiuakuvu,kiuadudu na booster 27/7
#tukaforcechaka
Mbegu yetu ya FARMCARE TIKITI (Crimson Sweet).
Ni Tikiti ya Pundamilia ya Kienyeji iliyoboreshwa.
Ipo kwenye Ujazo wa 10gm,25gm,50gm,100gm,250gm,500gm pamoja na 1Kg.
Mbegu bora ya Tikiti ya Kienyeji iliyoboreshwa.
☎️0688308804