Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungusha mfano wa usukani wa Meli kama ishara ya kuruhusu Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu kuondoka katika eneo la Uzinduzi, Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Aprili, 2026
Nanukuu maneno ya MZEE DR.Edward Hose.alisema (unapoingia katika mikutano Yao ,wanataka ujione kuwa mdogo na wao uwaone kama miungu .wanataka ufahamu kuwa wao ndio wamekuweka hapo.usipokubaliana nao Kuna hatari) @_pillato @Aduiwayanga@CloudsMediaLive