@dyabala01 Hii bongo ya mwaka gani mkuu, bongo unaomba namba sasahivi baadae analalamika anashida anataka pesa aitatue hiyo shida, unamuita geto unamtatua kwanza yeye alafu ndio unampa pesa akatatue shida zake siku ya pili anaileta mwenyewe unaitatua baada ya hapo ni utatu mtukutu
@B_boe_mastory Nyie hii bahati ya kuachwa mnaitolea wapi, mi nimetafuta kila sababu niachwe lakini ndio kwanza mtu kaenda kudaka mimba na mwengine ananiambia hiyo sio sababu ye bado yupo na mimi