Kilimo kimenoga na Vijana wanakamata fursa. Nilifurahi sana kukutana na huyu Kijana Jacob wakati napita kwenye Ziara Mkoani Ruvuma. Niliona shamba lake nikashawishika kusimama na kumpongeza kwa kazi nzuri.
#Agenda1030
Kilimo ni Fursa. Kilimo ni biashara.
Kongole kwa vijana wote waliojikita kwenye Kilimo, popote ulipo, Kongole Sana. #Agenda1030
Hatimaye Jana Tar 30/7 tumevuna mchumo wa 3
Tunaendelea kuzingatia
-Afya mmea na maua na matunda
-Program ya mbolea
-Unyunyiziaji wa viwatilifu
-Umwagiliaji
📌Tunaendelea kuitunza miche ya nyanya baada ya kuvuna.
Follow @msakufarm#mashambayanatulea
Kwa wakulima wa Nyanya;
Usiruhusu miche kurefuka sana, ikipandwa inalegea na kulala
Kama imerefuka, wiki ya mwisho kabla ya kupanda, punguza kumwagilia iwe imara (stem hardening)
Wakati wa kupanda chimbia kina kirefu,masika usifanye hivo mashina yataoza
Punguza mbolea za nitrogen
JE, WAJUA?
Vitunguu vyenye kiini kimoja (single centered onion ring) ndivyo vinafaa kibiashara kuliko Vitunguu vyenye viini zaidi ya kimoja (multiple centered onion rings).
Baadhi ya sababu za vitunguu kuwa na kiini zaidi ya kimoja ni uhaba wa maji ya kumwagilia, aina za mbegu