@FKihamu Hata hatufeheshi,mnafedheheshwa nyinyi wajinga Makolo,tumefanya vile ili kuwahi muda kule Cass tusichelewe,hivyo tuna haki kurejea kwenye ngazi hizi,sababu hatuchelewi tena.
@shaffidaffa87@godbless_lema Dini nayo inafuata Nini?Zanzibar mbona waislam waliuawa enzi ya Mkapa 2001,mbona hukusema wanalengwa waislamu? Dunia nzima Siasa ndio ilivyo
@godbless_lema Tatizo lipo kwenye hiki Chama chetu viongozi wetu wanaongea lugha za uchochezi,kama hatutaki kushiriki uchaguzi basi ni Chama chetu,tusubiri miaka mitano ijayo tujipange ili tushiriki sio kutanga fujo.
@mshambuliaji Lakini Simba ndio sababu ya kumkikbia Daby kumuogopa huyo refa,kuzuwiwa kufanya mazoezi yote yalikuwa mipango ya kukwepa kucheza na Yanga.
@HecheJohn Mbona enzi ya Uongozi wa Mbowe michango haikutakiwa vipi Uongozi huu? kama mmeshindwa rudisheni mpira kwa mwenyewe,ndio mjifunze wajumbw kuchagua wanaharakati kwenye Chama na kuacha wanaojua kuongoza Chama ,Chadema ndio byby kinafuata Cuf kupoteza