@zittokabwe@ACTwazalendo Ndy maana wenzenu chadema walisema "if no reforms will be no election" sababu wanaosimamia mchakato mzima wa uchaguzi hutokana na mgombea mwenzenu, unategemea nini hapo wewe kama msomi wa chuo kikuu na mbobezi wa mambo kadhaa yahusuyo jamii na mazingira yake?
@chiefmaro@HecheJohn@MariaSTsehai@ChademaTZ2@SuluhuSamia Mr Maro hujui kuwa uchaguzi wa CCM unamhusu kila Mtanzania hadi uulize ? Hali yeyote ya Maisha yako inategemea matokeo ya uchaguzi wa CCM na akili yako kwa namna moja ama nyingine kama hujui?
@fatma_karume Shangazi hiy hali ya inayoweza kulazimu bunge la dharula kuitishwa kwa mjibu wa katiba hata kama limesha vunjwa haiko specific kuwa ni hatari zipi hizo bali katiba imempa uhuru wa kuona tu yeye kama yeye kuwa Jambo hili ni hatari
@HwenuNg93942@zittokabwe Hao wanaosema kuwa tulipata Uhuru bila umwagaji damu wanaipindisha historia, wakina Chief mkwawa, Kinjekitile,Mangi Mary na wengine wote kwani walimwaga maji au wao hawakuwa wakipigania Uhuru wa Tanganyika!!