@chapo255 Tulivyo vicha maandazi nani wa kugoma... Yanga wameimba hatuchezi tokea mwezi wa 3 leo wamejaa wote wanaitaka mechi kama sio wale waliotengeneza hadi tshrt za hatuchezi
@JMariotz@rabihume@Hansrafael19 Kukatwa kwenye line [ kutolewa kwenye payroll ya UTO] ndo alichomaanisha kuna namna hans katoa maoni kishabiki sana na sio kiuchambuzi.. hizi Simba na Yanga zinatoaga akili sana