UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI IJUMAA YANGU.
Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu YANGU maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi YANGU na hukumu zake katika Msalaba pale Kalvari. Mimi ni MSHINDI, Mimi niko HURU.
Asante YESU.
UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.
Mimi Nimebarikiwa. Kwangu hakutapungua Kicheko, Sherehe, Furaha, Tafrija, Karamu na Utele. Hakutakuwa na kulala Njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula Vinono.
Asante YESU.
🚨 For Cristiano Ronaldo to equal Messi's achievements, He needs:
• 1 World Cup
• 3 Ballon D'or Award
• 2 French League titles and
• 1 Human Hormone.
🚨 But For Lionel Messi to equal Ronaldo's achievements, He needs:
• 3 Premier League titles
• 2 Champions League titles
• 1 Puskas Award
• 2 FA Cup
• 2 English Super Cup
• 2 Italian League titles
• 2 Italian Cup
• 1 Club World Cup
• 6 Globe Soccer Award
• 1 UCL All Time scorer Award
• 1 Diamond YouTube play button.
Any disrespect to Cristiano Ronaldo from all Messi fans will not be tolerated anymore... 🤔
UKIRI WA BARAKA ZA SIKU.
NAIBARIKI JUMANNE YANGU.
Familia yangu itasonga mbele haiwezi kurudi nyuma. Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata. Maisha yetu yatakuwa mazuri kwa kuwa tumebarikiwa na BWANA.
YESU Asante.
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.
BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu tena ni Ngome ya Uzima wangu, Nimhofu nani? Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka. Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa.
NAIBARIKI IJUMAA YANGU.
BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Watesi wangu na adui walijikwaa wakaanguka. MIMI ni MSHINDI.
YESU nakushukuru. BABA nakutukuza.
NAIBARIKI JUMATATU YANGU.
Nimebarikiwa Niingiapo, Nimebarikiwa na Nitokapo, Wema na Fadhili za BWANA hakika zitanifuata, Siku zote za Maisha Yangu ili niutazame Uzuri wa BWANA na kutafakari Hekaluni MWAKE, Mimi ni wa Juu tu, Mimi ni wa Kileleni tu.
Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA.
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.
Mimi sitapungukiwa, maana BWANA ni Mchungaji wangu. Sitapungukiwa na kitu, Mimi ni Mbarikiwa wa BWANA, kwa hiyo Alhamisi yangu IMEBARIKIWA.
NAIBARIKI IJUMAA YANGU.
BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu. BWANA ni Ngome ya Uzima wangu. Mimi ni Mshindi, Hakuna cha Kunishinda.
Ijumaa Yangu IMEBARIKIWA na BWANA.
NAIBARIKI IJUMAA YANGU.
Adui zangu wote wamewekwa chini ya Miguu Yangu maana Bwana YESU aligongomelewa hatia zote dhidi Yangu na hukumu zake katika Msalaba pale Kalvari. Aliweka madai yao yote chini ya Miguu Yake na Akashangilia, na Mimi leo NASHANGILIA.
Asante, YESU.
NAIBARIKI IJUMAA YANGU.
BWANA amenipa kuwa Kichwa, BWANA amenipa kuwa wa Kwanza, BWANA amenipa kuwa Juu, BWANA amenipa Kushinda. Mimi ni Mshindi, hakuna cha kunishinda.
Asante YESU.
NAIBARIKI JUMANNE YANGU.
Ni Siku ya Familia; Familia yangu itasonga mbele haiwezi kurudi nyuma. Kwetu kutakuwa kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata. Maisha yetu yatakuwa Mazuri kwa Tumebarikiwa na BWANA.
Asante YESU.
🎙️ Didier Drogba:
“Cristiano Ronaldo’s [SIUUU] celebration is not only seen in football, we even see it in graduations. It goes beyond football, it’s iconic.”