Ukiwa na umri wa miaka 20 hadi 29 hivi
ukiruhusu nyeg* zikuendeshe ndio unapoteza ramani hivyo
Jitahidi ufunge au uzuie hio nanilii yako
Avoid nyegeism
Ukiwa na mapenzi na ndoto zako.
Hisia zinakuwa na nafasi ndogo sana kwako.
Tuipende sana hela maaa yanyewe ndio kila kitu kwenye hii karne.
Pesa inanunua hata uhai indirectly.
Muulizeni @profesa jay
Ukikosa calls or massage ya mpenzi wako ambayo ulitarajia itakupa furaha na upendo.
Soma kitabu kurefresh
Kisha tafuta hela, hela hainunue furaha wala upendo ila inaweza kukupa vitu vitavyokustarehesha na kukuondolea huzuni kabisa.
@captainmaestroo Mchongo mwingine ambao unaweza kuufanya ukakupa hela kwa mtaji kidogo ni kufanya usafi katika maofisi na nyumba za matajiri hapo ni kwende na miguu yako tu vifaa utatumia vyao
Ila ili uboreshe na uongoze thamani yako nenda na vifaa vyako hapo watakuona upo serious na kazi yako
@iAmLyimo Mchongo mwingine ambao unaweza kuufanya ukakupa hela kwa mtaji kidogo ni kufanya usafi katika maofisi na nyumba za matajiri hapo ni kwende na miguu yako tu vifaa utatumia vyao
Ila ili uboreshe na uongoze thamani yako nenda na vifaa vyako hapo watakuona upo serious na kazi yako
@heisbixen Mchongo mwingine ambao unaweza kuufanya ukakupa hela kwa mtaji kidogo ni kufanya usafi katika maofisi na nyumba za matajiri hapo ni kwende na miguu yako tu vifaa utatumia vyao
Ila ili uboreshe na uongoze thamani yako nenda na vifaa vyako hapo watakuona upo serious na kazi yako
Kipindi nasoma chuo nilikuwa nawauliza wafanya usafi kiasi wanacholipwa wengi
waliniambia elfu 80000 kwa mwezi kwa maana hiyo kwa siku analamba 2000.
Na hapo ndio nikagundua tanzania bado kuna wimbi la ujinga,umaskini na utumwa wa kisasa.
Kwa leo nashia hapo.
Biashara ya kufanya usafi maofisini kwa watu kama unamtaji mkubwa unaweza kuanzisha kampuni linalodeal na mambo ya usafi na ukapiga pesa ndefu.
Wale utakaowaajiri mala nyingi hawaitaji pesa nyingi
Chukua watu kutoka nje ya mji hao ndio wanafaa zaidi maana wanaanjaa ya pesa bala
Mchongo mwingine ambao unaweza kuufanya ukakupa hela kwa mtaji kidogo ni kufanya usafi katika maofisi na nyumba za matajiri hapo ni kwende na miguu yako tu vifaa utatumia vyao
Ila ili uboreshe na uongoze thamani yako nenda na vifaa vyako hapo watakuona upo serious na kazi yako
Ngoja nikuulize kitu
Hivi wewe huwa huoni aibu kuombaomba watu hela.
Anyway huenda unapenda au ndio tusikufatilie.
Ebu
Tafuta hela auche kula kwa shikamoo.
Tafuta hela watoto wako waenjoy
Tafuta hela uondoke kwenu tena ondoka hata kama huna hela.
Tafuta hela uusahau umaskini.
Kuanza hizo biashara hakuhitaji uone aibu mbele za watu.
Kitendo cha wewe kuonea watu aibu ni sawa na kusema sina shida na pesa.
Pesa haionewi aibu ukiwa huna hela jichanganye popote.
Ukishafikisha miaka 18 usituàmbie huoni mishe ya kufanya itakayokupa pesa.
Acha visingizio kuwa huna mtaji.
Elfu 10,000 inatosha kuanzisha biashara hizi.Anza kuuza
nyanya
ndizi
viatu
soksi
chupi au boxer.
Ukishindwa hizo ndogo fanya udalali wa nyumba,viwanja n.k