MUNGU ATAKUJARIBU KWA NJIA TATU
1. Wakati mwingine anakupa kile unachotaka mara moja ili kupima shukrani yako.
2. Wakati mwingine hakupi unachotaka ili kupima imani yako
3. Wakati mwingine anakufanya ungoje ili kujaribu subra yako
MUNGU anakutayarisha kwa baraka kubwa zaidi ๐
Nilikuwa nimerudisha akili kwa Nostalgia hapa . Aaah mzee Ferguson aliteseka sana mechi za Ulaya
Akilala akiamaka anakutaka na kiungo cha : Gattuso , Pirlo , Seedorf na Kaka ( AC Milan )
Akilala akiamka anakutaka na kiungo cha : Busquets , Xavi, Iniesta juu yao Messi ( Barcelona )
Akilala akiamka anakutaka na kiungo cha
Makelele, Zidane , Guti , Steve McManaman, Figo . ( Real Madrid )
Akilala akiamka anakutaka na kiungo cha : Lothar Matthรคus,Stefan Effenberg,Hasan Salihamidลพiฤ, Thorsten Fink, Mehmet Scholl ( Bayern Munich )
Halafu kuna wale wa mmoja mmoja : Deco ( Porto ) , Ballack ( Leverkusen) , Zidane & Edgar Davids ( Juve )
๐๐๐๐๐ wangemuuwa huyu mzee
Jude Bellingham na Pedri comparison ni kama Andres Iniesta & Kevin De Bruyne.
Two different profiles, Mchukue Pedri muweke Second striker kama Jude utamkataa mazima, ila mrudishe kwenye mido CM utamtaja kama one of the very best.
Mchukue Jude muweke CM utamuona ni kiungo wa kawaida sana, ila muweke Behind ST then you're talking one of the best.
Don't compare them, just enjoy them