Bibi yako akianza kupata pesa kukushinda, kwanza mshahara yenye ako sure kila mwezi itaingia, ataanza kukuona kama takataka mbele yake.
So, jipange mapema.
Jipange.
Be guided.
Unakazana mjei bana alafu mdem anatext msee.
"...I will insert it myself..next time".
Maneno Gani Haya.
Wanaume ukapitia. Wewe umenyimwa miezi Sita alafu Kuna mtu anaambiwa atawekewa mwenyewe😂😂