Hakikisha Unapata Angalau Kipande Cha Tango Hata Kila Siku,
Kula matango husaidia kuzuia upungufu wa maji mwilini.
Matango yana kalori chache sana na kiasi kikubwa cha maji, hivyo ni chakula bora kwa wale wanaotaka kupunguza uzito.
Matango yana antioxidants (viondoa sumu) na vitamini C, ambazo ni muhimu kwa afya ya ngozi.
Matango yanaweza kusaidia kudhibiti harufu mbaya mdomoni kwa kuongeza uzalishwaji wa mate, ambayo husafisha mdomo na kuondoa bakteria wanaosababisha harufu Mbaya.
KULA TANGO.
Hauhitaji UCHAWI wala dawa Kuzigeuza Kama Msaada ili wewe Kuwa na Afya Njema,
.
Utasema Nataka Kusema Nini??
.
Jizoeshe Mambo Haya Kila SIKU,
1. Pata Usingizi wa Kutosha, Angalau Masaa 6-8 Muhimu kwa Ajili ya Afya ya Mwili na Akili.
2. Punguza/ACHA Kula SANA usiku, Kula Kiasi na Usishibe SANA.
3. Pata Karanga Mbichi + Vijiko 2 vya Asali Mbichi Kabla ya Kulala, Unaweza Kupata Juivlce Yoyote ya Asili Kama Parachichi/ Embe.
4. Amka Mapema, Fanya Mazoezi Angalau kwa dk 15 na Hakikisha Unapata Glass 1-2 ya Maji ya Kunywa Kabla ya Kula Chochote.
5. Mshukuru MUNGU na Furahia Kile Ulichonacho, Furaha Ndio Mwanzo wa Mafanikio.
Alamsik!
@ayubu_madenge Kam Leo wamenipishanisha na ela @Tigo_TZZ tusifanyan tulaze familia zetu njaa Kuna siku ingine mmekata internet Toka saa tatu usiku adi saa mbili asubuh na Wala hamjali kurudish MB zetu
Kuna rafiki yangu alikuwa anaoa wiki kama mbili zimepita. Na Mimi nilikuwa Mwenyekiti wa kamati.
Sasa Bwana Harusi hakuwa mtu interactive kwenye jamii. Yaani hakuwa mchangiaji.
Budget ya Harusi ilifikiwa kwa kiasi cha wastani wa 45% tu siku zimeisha, na mambo yamekata
🧵👇🏾
NJIA SAHIHI ZA KUEPUKA UGONJWA WA GOUT (ARTHRITIS).
Gout arthritis ni ugonjwa unaotokana na kuwepo kwa kiwango cha juu cha asidi ya uric mwilini (uric acid).
Zipo hatua chache unazoweza kuchukua ili kuepuka au kupunguza hatari ya kupata ugonjwa huu.
SOMA KWA MAKINI....👇👇
@prossoff Leo nilikuwa kweny daladala mdad akamwambia mwenzak mam kanambia ata nikibeb numb nimpelekee mtoto. Kiujumla malez yamekuwa zero na ukijarib kumwangalia yupo under 20
zote biashara apo zina return nzuri. Ila kilubwa ni mzunguko wako then na mtaji wako una kuruhusu wap
BUT ZINGATIA AYA
1. Biashara ya nguo ni cheap sanaa ambayo kila mtu ana fanya so ipo na competition kubwa mbo kutoboa ina kua ngumu kdg
2. Biashara ya cm ni nzuli ila deal na cm used cod ndo zpo na faida kubwa kuliko mpya. Nb. (Ufundi simu una lipa kuliko ata simu. ) but usiwe fund simu locally kua classic
3. Nafaka ina lipa sanaa but uqe na mtaji wa kutosha una uuze nnje ya inchi kama kenya Huwa ina double profit. Nenda kanunua mazao kwa wakulima akaf peleka kenya au uganda. Congo. Malawi. Somalia
4. Duka la dawa lina lipa sanaa alaf alina mambo ya TRA na mambo ya serikali. Lakin normal mzunguko wake ni mdg
5. Spea za piki pik ina lipa ni biashara nzuli inayo lipa sanaa na oia demandi yake ipo juu sanaa ila huwa ina taka mtaji mkubwa
6. Uwakala uki pata space nzuli ina retunr nzuli uwezi kosa 2m ad 6m kwa mwezi. Ila alMa uqe na mzunguko mkubwa sanaa
UKIACHANA NA IZO KUNA HIZI ZENYE HIGHER DEMAND NA ZINA LIPA
1. Hardware
2. Brocks and brick making machine
3. Bottles making
4. Kuchimba visima
5. Car wash
@prossoff
Maji�� → Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 → Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ → Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 → Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha 😆 → Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost 🔄 → Kwa Ajili ya Wengine!