Majeraha Michezoni
UZI
Majeraha Michezoni Tafsiri Ya Kiingereza Ni SPORTS INJURY Ikiwa Na Maana Ya uharibifu wa tishu za mwili unaotokea kama matokeo ya michezo au mazoezi.
๐จ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ - Azam Fc ๐น๐ฟ imekamilisha usajili wa Winga Kipre Junior ๐จ๐ฎ kutoka MC ALGER ๐ฉ๐ฟ
Mc Alger ๐ฉ๐ฟ atavuna 30% kama Azam Fc itamuuza kwenda kwenye timu nyingine.
โ It's all Done & Sealed ๐ ๐ฆ
Ibenge anatakiwa kuwatengenezea mazingira rafiki wachezaji wake wa pembeni (Msindo, Mwaikenda)
Msindo timu isipokua na mpira hua anaelemewa ni sehemu wanayotumia zaidi kwenye ushambuliaji (krosi) basi anahitaji winga wa kumuondolea mizigo. Nedy Mgogo pia analiimba hiliโ๏ธ
Ibenge katambua kua wanazidiwa idadi pindi wakifanya shinikizo la juu sababu ni Himid pekee aliekua na jukumu la kuwakba Kagoma na Neo
Hivyo kaamua kumtumia Iddi Nado kuongezeka kwenye kiungo na Himid
Azam wakiwa na mpira waliteseka kuendeleza sababu alikosekana mchezaji huru..
Wazee wa kazi hata hizi hamnicheki?
Package ni 210k TUโ
Koti na suruali ni 170k๐ฅ
โ๏ธ0746712192
Tupo Msimbazi B JENGO LA DDC
Msaada wa RT๐๐ฟ ifike mbali
Japan forcing Brazil to play outside their wall (changing from 5-3-2 to 5-4-1) by compactness, when Brazil shifting wide Japan responding by stretching.
Solutions
โ Brazil need to force to play through em, need their wingers play more outside to connect with their Full backs..
Kuna Big Machine hii hapa
Hisense RS428
428L
~Energy saving
~Non Frost
~Fast cooling
~Side by side
Bei kitongaa kabisa -1,460,000 tu
Call/Whatsapp-062596198
Mie nae sijui ndo uzee๐คฃ๐คฃ
Asubuhi nilipigiwa simu manka hujambo,nikaitika vizuri nikaambiwa nimtumie hela yote ,nayafanya niko kweny usingizi ila aliyepiga namfaham,nikamtumia kish nikalala ,naja kuamka saa saba nina mawenge ila nakumbuka kuna mtu alisema atumiwe laki nne haraka
Mabro na masister mliopo chuo kikuu hakikisha unakuwa na watu tena wa maana jitahidi kutofautisha tabia zako maeneo tofauti, ishi kulingana na sehemu au watu husika, Mwisho kabisa usiache kuwa na mawasiliano ya watu mbalimbali bila kujali wana taaluma gani. Naomba wasilisha๐ค
@ABBISAITHJR@Isayadicksonjr Ukweli ni kuwa, kwa mtu msafi, aliyenyooka, privilege huwa hazipo! Maana kibongobongo nyingi ni 'wizi' usiotamkwa wazi.
Kwa mtu aliyenyooka kabisa, hicho cheo ni mzigo mkubwa! Maana kama ni hiyo hela amekua akipata, pengine zaidi na kulala usingizi wake!
@Jongajnr@Isayadicksonjr Wadhifa unaozungumzia hapo ni CAG Kaka sio diwani wala mtendaji wa kijiji. CAG kupata hayo marupurupu nje na mshahara ni uhakika kwa hapa Malawi
Ukipita Mkoa wa Iringa, Kuanzia unapoingia Ruaha Mbuyuni mpaka Nyololo huwezi kutana na mashamba ya Chai.
Hii inafanya watu wengi wasiofuatilia kudhani, Njombe, Mbeya, Kagera au Tanga ni mikoa yenye mashamba makubwa ya Chai kuliko Iringa.
Kwenye hii ligi zitoe Mbeya na Tanga na Kagera, Uhalisia ni kwamba Mkoa wa Pili kwa kilimo cha Chai ni Njombe, Estates zake kubwa ni Luponde na Kibena ambazo kwa ujumla Zina hekta 3,212 za mashamba.
Wakati huo Estate Moja tu Pale Iringa Unilever Tea Tanzania (Brooke Bond Tanzania / BBT) ina zaidi ya Hekta 6,000
Kwa wanaoyajua mashamba ya Chai pale Mufindi wanaweza elezea hii